mkulima gwakikolo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 1,767
- 2,855
Je kama watahamia Nccr watakua wa nafuata nini. Je ni kwasabb ya njaa zao?je ni kwasabb ya uzalendo wao?je agenda zao ktk majimbo yao znabadlka?je wananchi waliokua wanawawakilisha awali watabadilika au watakua ni wale wale? Wanasiasa wa kiafrica hawajawahi kuwa wazalendo hata siku moja ispokua kutafuta vitambi vya matumbo yao...Mwlm JK pekee hakufuata vitambi kwenye siasa Bali dhamira ya kukomboa wananchi kwa dhat pasi na shaka..!!
Enyi wabunge hatuna shida nanyi mana tunajua hamupendi maisha ya wananchi wenu mliowaminisha awali kuwa mnawapenda kwl kw Bali muliingia kunenepesha vitambi...nendeni tena nasema nendeni!!!
Sent using Jamii Forums mobile app