mkulima gwakikolo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 1,767
- 2,855
Haya ni mawazo ya majuha.kwanini wasiamie ccm au act au cuf kwanini iwe nccr.hizi akili ndogo za jiwe,bashiru na polepole.chadema ipo na itakuepo mpaka mwisho wa dunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni hisia zako!CCM ndio wamesha cheze dili Mbatia waiuwe CHADEMA
Kwa saa NCCR MAGEUZI ni tawi la CCM tu
Kawadanganye wajinga
MBATIA alienda ikulu kuona na Rais watu tukausoma mchezo haraka haraka
HATA ACT WAZALENDO bado kunaulakini walivyoenda kuonana na Rais ikulu isipokuwa CHADEMA
NCCR MAGEUZI nitawi la CCM mwaka 2020 nakuendelea watakuwa na wabunge huko bungeni ili kuonesha kuwa Tanzania kunadekorasi na baadhi ya wabunge wa upinzani wameshinda
Nakupata uhalali kimataifa kuwa uchaguzi ulikuwa fresh
HUU MCHEZO UMESHAJULIKANA TANGIA KITAMBO SANA
Watanzania sio wajinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii CHADEMA kweli inawanyima usingizi hasa.Hizi nilizopewa ni za ndani kabisa na mtu aliyeniambia ni mtu wa ndani ndani ya CHADEMA.
Kile kilichotokea tarime ni kama mfano tu pamoja na wanachama wa chadema kufanya vurugu na kupopoa mawe gari la NCCR Mageuzi.
Inasemekana ndani ya CHADEMA kuna uozo mwingi na ukiritimba bali watu walikuwa wanavumilia tu.
Chama ni mali ya mtu mmoja na familia yake.
Maamuzi ya chama yanafuata matakwa ya mtu mmoja.
Mali za chama zinaliwa na mtu mmoja wabunge nao wanachangishwa kama vile wanalipia pango.
Makatibu wa wilaya hawalipwi na mambo mengi yasiyofaa.
Wimbi hili la mwisho litakuwa ndio fagia fagia ya kukimaliza CHADEMA.
Na huu ndio utakuwa mwisho wa Chadema.
Maana sidhani kama wataweza kukomaa kama NCCR mageuzi.
Mtu wa ndani ndani kumshinda Mashinji ni nani huyo, Mbowe mwenyewe?Hizi nilizopewa ni za ndani kabisa na mtu aliyeniambia ni mtu wa ndani ndani ya CHADEMA.
Ok tumekuelewa! Sasa unashaurije ili hiki chama kiendelee kuwa active kwenye siasa za ushindani. Naomba pia NIKUULIZE swali Mnyeti akiwa mkuu wa wilaya arumeru alikuwa anatoa wapi pesa ya kuwahonga madiwani wa chadema? Je alikuwa anatumia mshahara wake?Hizi nilizopewa ni za ndani kabisa na mtu aliyeniambia ni mtu wa ndani ndani ya CHADEMA.
Kile kilichotokea tarime ni kama mfano tu pamoja na wanachama wa chadema kufanya vurugu na kupopoa mawe gari la NCCR Mageuzi.
Inasemekana ndani ya CHADEMA kuna uozo mwingi na ukiritimba bali watu walikuwa wanavumilia tu.
Chama ni mali ya mtu mmoja na familia yake.
Maamuzi ya chama yanafuata matakwa ya mtu mmoja.
Mali za chama zinaliwa na mtu mmoja wabunge nao wanachangishwa kama vile wanalipia pango.
Makatibu wa wilaya hawalipwi na mambo mengi yasiyofaa.
Wimbi hili la mwisho litakuwa ndio fagia fagia ya kukimaliza CHADEMA.
Na huu ndio utakuwa mwisho wa Chadema.
Maana sidhani kama wataweza kukomaa kama NCCR mageuzi.
Yaliyotolea Tarime hukuyaona? Kwa nini Chadema wamepiga gari la Nccr Mageuzi mawe?Mtu wa ndani ndani kumshinda Mashinji ni nani huyo, Mbowe mwenyewe?
Kama Mashinji alishawapa habari za ndani ndani kabisa na bado hamkuridhika nazo na kuzitumia kuisambaratisha CHADEMA, hizi habari mpya zitatoka wapi?
Kila mnavyozidi kuhangaika, ndivyo mnavyozidi kujionyesha udhaifu wenu mkubwa wa kufikiri.
Subiri bunge livunjwe.Ok tumekuelewa! Sasa unashaurije ili hiki chama kiendelee kuwa active kwenye siasa za ushindani. Naomba pia NIKUULIZE swali Mnyeti akiwa mkuu wa wilaya arumeru alikuwa anatoa wapi pesa ya kuwahonga madiwani wa chadema? Je alikuwa anatumia mshahara wake?
Wanarudi walikoanzia siasa za mageuziHaya ni mawazo ya majuha.kwanini wasiamie ccm au act au cuf kwanini iwe nccr.hizi akili ndogo za jiwe,bashiru na polepole.chadema ipo na itakuepo mpaka mwisho wa dunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tukubaliane na hoja yako. Swali ni je, hilo likitokea wewe binafsi utakuwa umepata nini?Hizi nilizopewa ni za ndani kabisa na mtu aliyeniambia ni mtu wa ndani ndani ya CHADEMA.
Kile kilichotokea tarime ni kama mfano tu pamoja na wanachama wa chadema kufanya vurugu na kupopoa mawe gari la NCCR Mageuzi.
Inasemekana ndani ya CHADEMA kuna uozo mwingi na ukiritimba bali watu walikuwa wanavumilia tu.
Chama ni mali ya mtu mmoja na familia yake.
Maamuzi ya chama yanafuata matakwa ya mtu mmoja.
Mali za chama zinaliwa na mtu mmoja wabunge nao wanachangishwa kama vile wanalipia pango.
Makatibu wa wilaya hawalipwi na mambo mengi yasiyofaa.
Wimbi hili la mwisho litakuwa ndio fagia fagia ya kukimaliza CHADEMA.
Na huu ndio utakuwa mwisho wa Chadema.
Maana sidhani kama wataweza kukomaa kama NCCR mageuzi.
Nitachokipata kinakuhusu nini?Ngoja tukubaliane na hoja yako. Swali ni je, hilo likitokea wewe binafsi utakuwa umepata nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkaidi afaidi hadi siku ya IddYaani mtoa maada unachekesha, mtu Mwenye akili atoke chama chenye akidi zaidi ya milioni kumi ahamie kwa Mrema?
Zitakuwa hazimtoshi, Pili kuwa CHADEMA ni chama cha familia ni habari ukawaambie watu zisizowatosha! Na ni propaganda mfu na ya kizamani, maana tulisikia ni chama cha wachaga imepita, cha wakristo imepita sasa imekuja ni cha familia! Amini usiamini CHADEMA laazima kunasiku kitaongoza taifa hili maana ni chama sio kundi la wahuni na walaghai kama chama kubwa CCM, Cha ujamaa kisicho na mjamaa!