hahahaaaqa....
wabongo kila mtu spy..!!
faraja akubali maumivu tuuu!!
mradi anpata anachokipata baasss plus ma selfie ya kuturusha roho ig na shosti zake inatosha kuridhika na hali!!
Mbona hao wala nchi ndio wanakimbilia huko kutibiwa , kusomesha watoto wao, pesa wanazoiba wanenda kuziweka huko mkuu kuzikwa tu ndio wanazikwa bongo kama makaburini vile ? badala ya kuijenga nchi yetu na kuboresha maisha ya kila mtanzania?
Umeona lulu alivyonichambia watu jana? Khaaa naanza kumuogopa sasa
Mkuu EMT na je ni kuzaliwa tu Marekani kunamfanya mtu kuwa raia wa Marekani au mpaka atimize miaka 18 akiishi huko?
Kuzalia marekani ni fashion siku hizi?
Lulu yule nakwambia, take it from me, mastaa jana walimpost na kumpongeza kwa kurudi, account za funpage nyingi tu ila ya jana imethibitishwa
Binamu uliona jana lulu alivyonichambia watu instgram? Kale katoto ni shidaaa, sio michambo ile
Kuzaliwa tu ni raia.
Sio siku hizi labda kwa TZ ambapo wengi ushtuka baadae sana...Hii kitu ipo na inajulikana na wa TZ haswa walio na wakuwaambia habari hii wanafanyaga tangu, kwa nchi zingine China, na za West Africa etc ndio mazoea kwa watakao au wawezao.
Ni ujue tu nini na nini cha kufanya ufikapo huko.
Kwa iyo kukimbilia kujifungua marekani ndio akili????Hata hao mastar wazazi wao walienda miaka hiyoooo ndio maana wengi wanakaratasi, ni deal ya muda mrefu kwa wanigeria, Nashangaa madada zetu wanaenda kununua nguo za kuvalisha watoto alafu watoto wanazalia bongo kweli akili ni nywele...
Kwa iyo kukimbilia kujifungua marekani ndio akili????
Waafrika sijui tulimkosea nin MUNGU????
Hajui mie inanipasa kulipa white xmas ngapu ili kukupenda! mamakibunju tafaaaazal !
,Waafrika tuna akili za ajabu sana...wazee wetu walikuwa wanaona bora wafe kuliko kupelekwa utumwani...leo mwafrika anaona bora akafie utumwani..huu ni zaidi ya uwendawzimu...kuzaliwa marekani na kupangwa mafungu ya uraia kuna raha gani..??....kwa akili hizi hata wazungu wanatushangaa kwa uchizi wetu.....maana tunajirudisha sisi wenyewe utumwani tena kwa gharama zetu wenyewe kiasi kwamba mpaka wanyama wa porini wanatushangaa kwa ujinga....ambacho waafrika hawajui ni kwamba mtu mweupe hajawahi kumpenda mtu mweusi hata siku moja na hata mpenda mpka mwisho wa dunia..isipokuwa kwa unafiki tu lakini mioyoni mwao wanachuki kali nasi zaidi ya tunavyofikiria..utakimbiaje nchi yako...?.nchi ya mababu zako ambao walipoteza uhai wao kwa ajili kuwatimua wazungu ili wabaki huru na wewe unakimbilia huko huko kwa maadui wa mababu zako..,,??...huu ni usaliti wa hali ya juu....tuzijenge nchi zetu...hao mafisadi na viongozi wabovu hata huko ulaya walikuwapo...lakini wenzetu waliwatimua na kujenga nchi zao ambazo leo tunaziona pepo ndogo hapa duniani....kwanini na sisi tusifanye hivyo hapa kwenye ardhi yetu...??...cha ajabu sasa wakati sisi tunaona fahari kukimbilia huko...wazungu kila siku wanazaliwa bongo na kumiliki maeneo makubwa na kuwapa watoto zao....WAKE UP AFRICANS...
,
Usiseme tu WAKE UP AFRICANS..sema pia WAKE UPA ARABS, CHINESE, INDIANS,JAPANESE ETC. maana hao wote pia wanakimbilia huko kama hao waafrika..na maelfu kila siku wanazama kwenye mediterranean sea kwenda Europe...chezea nchi za maziwa na asali wewe.
​Subiri Afrika ije ijengwe mwisho wa dunia, wakati viongozi wenu ndio hao hao wanaoongoza kwenda kuzijenga nchi hizo zingine za US na Ulaya, mtasubiri sana hadi kiama Afrika haitajengeka kamwe!!Afrika itajengwa na waafrika wenyewe...hao uliowataja watajua wenyewe na mataifa yao na mabala yao...AFRIKA KWANZA...
​Subiri Afrika ije ijengwe mwisho wa dunia, wakati viongozi wenu ndio hao hao wanaoongoza kwenda kuzijenga nchi hizo zingine za US na Ulaya, mtasubiri sana hadi kiama Afrika haitajengeka kamwe!!
Hata mawazo yangekua fresh lakini huo ndio ukweli Afrika itasubiri sana...Kwa mawazo yenu mgando ndio maana Afrika inashindwa kupiga hatua....