Waafrika tuna akili za ajabu sana...wazee wetu walikuwa wanaona bora wafe kuliko kupelekwa utumwani...leo mwafrika anaona bora akafie utumwani..huu ni zaidi ya uwendawzimu...kuzaliwa marekani na kupangwa mafungu ya uraia kuna raha gani..??....kwa akili hizi hata wazungu wanatushangaa kwa uchizi wetu.....maana tunajirudisha sisi wenyewe utumwani tena kwa gharama zetu wenyewe kiasi kwamba mpaka wanyama wa porini wanatushangaa kwa ujinga....ambacho waafrika hawajui ni kwamba mtu mweupe hajawahi kumpenda mtu mweusi hata siku moja na hata mpenda mpka mwisho wa dunia..isipokuwa kwa unafiki tu lakini mioyoni mwao wanachuki kali nasi zaidi ya tunavyofikiria..utakimbiaje nchi yako...?.nchi ya mababu zako ambao walipoteza uhai wao kwa ajili kuwatimua wazungu ili wabaki huru na wewe unakimbilia huko huko kwa maadui wa mababu zako..,,??...huu ni usaliti wa hali ya juu....tuzijenge nchi zetu...hao mafisadi na viongozi wabovu hata huko ulaya walikuwapo...lakini wenzetu waliwatimua na kujenga nchi zao ambazo leo tunaziona pepo ndogo hapa duniani....kwanini na sisi tusifanye hivyo hapa kwenye ardhi yetu...??...cha ajabu sasa wakati sisi tunaona fahari kukimbilia huko...wazungu kila siku wanazaliwa bongo na kumiliki maeneo makubwa na kuwapa watoto zao....WAKE UP AFRICANS...