Dokta Amzuia Aunty kujifungulia Marekani

Dokta Amzuia Aunty kujifungulia Marekani

hahahaaaqa....
wabongo kila mtu spy..!!

faraja akubali maumivu tuuu!!

mradi anpata anachokipata baasss plus ma selfie ya kuturusha roho ig na shosti zake inatosha kuridhika na hali!!

Umeona lulu alivyonichambia watu jana? Khaaa naanza kumuogopa sasa
 
Mbona hao wala nchi ndio wanakimbilia huko kutibiwa , kusomesha watoto wao, pesa wanazoiba wanenda kuziweka huko mkuu kuzikwa tu ndio wanazikwa bongo kama makaburini vile ? badala ya kuijenga nchi yetu na kuboresha maisha ya kila mtanzania?

Binamu uliona jana lulu alivyonichambia watu instgram? Kale katoto ni shidaaa, sio michambo ile
 
Mkuu EMT na je ni kuzaliwa tu Marekani kunamfanya mtu kuwa raia wa Marekani au mpaka atimize miaka 18 akiishi huko?

Kuzaliwa tu ni raia.

Kuzalia marekani ni fashion siku hizi?

Sio siku hizi labda kwa TZ ambapo wengi ushtuka baadae sana...Hii kitu ipo na inajulikana na wa TZ haswa walio na wakuwaambia habari hii wanafanyaga tangu, kwa nchi zingine China, na za West Africa etc ndio mazoea kwa watakao au wawezao.

Ni ujue tu nini na nini cha kufanya ufikapo huko.
 
Last edited by a moderator:
si yy yule ht km kapinda si kihivyo jamani

Lulu yule nakwambia, take it from me, mastaa jana walimpost na kumpongeza kwa kurudi, account za funpage nyingi tu ila ya jana imethibitishwa
 
Lulu yule nakwambia, take it from me, mastaa jana walimpost na kumpongeza kwa kurudi, account za funpage nyingi tu ila ya jana imethibitishwa

hana akili
kweli aliyekufa kafa!!!
 
Na waendelee kumshangilia na kutoa pole, siku akiwalia waume zao au boyfi ndio watamwita mdogo wetu kwa furaha zaidi.
 
Kuzaliwa tu ni raia.

Sio siku hizi labda kwa TZ ambapo wengi ushtuka baadae sana...Hii kitu ipo na inajulikana na wa TZ haswa walio na wakuwaambia habari hii wanafanyaga tangu, kwa nchi zingine China, na za West Africa etc ndio mazoea kwa watakao au wawezao.

Ni ujue tu nini na nini cha kufanya ufikapo huko.

Kwa maana hiyo dual citizenship itapitishwa bongo?
Asante kwa kunijulisha
 
Hata hao mastar wazazi wao walienda miaka hiyoooo ndio maana wengi wanakaratasi, ni deal ya muda mrefu kwa wanigeria, Nashangaa madada zetu wanaenda kununua nguo za kuvalisha watoto alafu watoto wanazalia bongo kweli akili ni nywele...
Kwa iyo kukimbilia kujifungua marekani ndio akili????
Waafrika sijui tulimkosea nin MUNGU????
 
Kwa iyo kukimbilia kujifungua marekani ndio akili????
Waafrika sijui tulimkosea nin MUNGU????

Sasa mtu uendelee kufa njaa bongo wakati kuna oportunity sehemu ww uko dunia ya ngapi? It's not about uafrica, endeleeni kudumisha uafrica wakati mnakufa njaa wananufaika wachache, me mwenyewe ningepata chance hiyo ya kwenda kujifungulia kule na ku secure future ya wanangu education wise ningeenda bila kujiuliza mara mbili mbili, watu wanasoma ili wapate maisha mazuri na bongo hata ukiwa na elimu bado mizengwe kwa nini mtu usiondoke wakati kuna oportunity
 
mbwembwe tu hakuna cha kujifungulia marekani wala india na huyo doctor wao wa kumpanga aseme amzuia asiende kujifungulia marekani
 
Waafrika tuna akili za ajabu sana...wazee wetu walikuwa wanaona bora wafe kuliko kupelekwa utumwani...leo mwafrika anaona bora akafie utumwani..huu ni zaidi ya uwendawzimu...kuzaliwa marekani na kupangwa mafungu ya uraia kuna raha gani..??....kwa akili hizi hata wazungu wanatushangaa kwa uchizi wetu.....maana tunajirudisha sisi wenyewe utumwani tena kwa gharama zetu wenyewe kiasi kwamba mpaka wanyama wa porini wanatushangaa kwa ujinga....ambacho waafrika hawajui ni kwamba mtu mweupe hajawahi kumpenda mtu mweusi hata siku moja na hata mpenda mpka mwisho wa dunia..isipokuwa kwa unafiki tu lakini mioyoni mwao wanachuki kali nasi zaidi ya tunavyofikiria..utakimbiaje nchi yako...?.nchi ya mababu zako ambao walipoteza uhai wao kwa ajili kuwatimua wazungu ili wabaki huru na wewe unakimbilia huko huko kwa maadui wa mababu zako..,,??...huu ni usaliti wa hali ya juu....tuzijenge nchi zetu...hao mafisadi na viongozi wabovu hata huko ulaya walikuwapo...lakini wenzetu waliwatimua na kujenga nchi zao ambazo leo tunaziona pepo ndogo hapa duniani....kwanini na sisi tusifanye hivyo hapa kwenye ardhi yetu...??...cha ajabu sasa wakati sisi tunaona fahari kukimbilia huko...wazungu kila siku wanazaliwa bongo na kumiliki maeneo makubwa na kuwapa watoto zao....WAKE UP AFRICANS...
,
Usiseme tu WAKE UP AFRICANS..sema pia WAKE UPA ARABS, CHINESE, INDIANS,JAPANESE ETC. maana hao wote pia wanakimbilia huko kama hao waafrika..na maelfu kila siku wanazama kwenye mediterranean sea kwenda Europe...chezea nchi za maziwa na asali wewe.
 
Afrika itajengwa na waafrika wenyewe...hao uliowataja watajua wenyewe na mataifa yao na mabala yao...AFRIKA KWANZA...
 
Afrika itajengwa na waafrika wenyewe...hao uliowataja watajua wenyewe na mataifa yao na mabala yao...AFRIKA KWANZA...
​Subiri Afrika ije ijengwe mwisho wa dunia, wakati viongozi wenu ndio hao hao wanaoongoza kwenda kuzijenga nchi hizo zingine za US na Ulaya, mtasubiri sana hadi kiama Afrika haitajengeka kamwe!!
 
​Subiri Afrika ije ijengwe mwisho wa dunia, wakati viongozi wenu ndio hao hao wanaoongoza kwenda kuzijenga nchi hizo zingine za US na Ulaya, mtasubiri sana hadi kiama Afrika haitajengeka kamwe!!

Kwa mawazo yenu mgando ndio maana Afrika inashindwa kupiga hatua....
 
Back
Top Bottom