Dokta Amzuia Aunty kujifungulia Marekani

Are you her PR?
hey comeone and grow up...this is an open social forum....Aint I Suppose to share what I know..inamaana wewe uliyesema yeye ni raia wa marekani kisa tu kazaliwa huko(tena new york,,tehteh..) ni nani kwake...?
Kushiriki mashindano sio kigezo miss wenu mzee alishirikije mashindano wakati umri wake ulizidi miaka inayotakiwa plus Ana mtoto mkubwa tu
...one disclosed wrongdoing doesnt justify this..who has exposed that on jokate`s case, ?
almost a decade now...
P.S pia inawezekana aliombewa passport ya USA na baadaye alipotaka kuomba ya wabongo wazazi wakafyatua ya bongo, mambo ya kumiliki passport ya tanzania na ya nchi nyingine nikawaida, mbona watu wana uraia wa usa wanamiliki passport za bongo Na wana vitambulisho vya kupiga kula wakati ni wabongo lLkn kusafiri kwenda usa wanatumia za usa, MJINI MIPANGO
quit conspiracy theories of yours and come up with facts...

##BY THE WAY MBONA POVU LINAKUTOKA SANA KUHUSU JOKATE!

...you seems to have the highest degree of sensitivity.....accept to be corrected / come up with argumentative facts..dimwits
 
hey comeone and grow up...this is an open social forum....Aint I Suppose to share what I know..inamaana wewe uliyesema yeye ni raia wa marekani kisa tu kazaliwa huko(tena new york,,tehteh..) ni nani kwake...?

...one disclosed wrongdoing doesnt justify this..who has exposed that on jokate`s case, ?
almost a decade now...

quit conspiracy theories of yours and come up with facts...

...you seems to have the highest degree of sensitivity.....accept to be corrected / come up with argumentative facts..dimwits

Iam not sensitive at all, i was just curious the way you was tryna prove ya point , by using extra force like al shabab in Garisa #eidhot
 
hey comeone and grow up...this is an open social forum....Aint I Suppose to share what I know..inamaana wewe uliyesema yeye ni raia wa marekani kisa tu kazaliwa huko(tena new york,,tehteh..) ni nani kwake...?

...one disclosed wrongdoing doesnt justify this..who has exposed that on jokate`s case, ?
almost a decade now...

quit conspiracy theories of yours and come up with facts...

...you seems to have the highest degree of sensitivity.....accept to be corrected / come up with argumentative facts..dimwits

By the way ,I have prove that english was your favourate subject at kayumba school is there )))))anything else u wanna add up so we can finish this league of your own rather than fillin' up the thread with rubish?
 
Are you her PR? Kushiriki mashindano sio kigezo miss wenu mzee alishirikije mashindano wakati umri wake ulizidi miaka inayotakiwa plus Ana mtoto mkubwa tu

P.S pia inawezekana aliombewa passport ya USA na baadaye alipotaka kuomba ya wabongo wazazi wakafyatua ya bongo, mambo ya kumiliki passport ya tanzania na ya nchi nyingine nikawaida, mbona watu wana uraia wa usa wanamiliki passport za bongo Na wana vitambulisho vya kupiga kula wakati ni wabongo lLkn kusafiri kwenda usa wanatumia za usa, MJINI MIPANGO

##BY THE WAY MBONA POVU LINAKUTOKA SANA KUHUSU JOKATE!

Jokate ana mtoto??
 
Jokate nae mmarekani ? Huu utani sasa kwanini alisoma mbagala huko wakat alikuwa nafasi nzuri tu ya kusoma US kama kweli ni raia
 
Hahhhhhhhhhhhhhaaaaaaa

1.Jokate Kazaliwa marekani so automatical ni raia ni juu yake kuomba passport a au kama anayo au hana atujui but kama umezaliwa marekani ww ni mmarekani and your entitled for everything

2.Mwenye mtoto nilikuwa namaanisha yule miss aliyerudisha taji Rejea kusoma tena hiyo comment kwa uzuriiii (in mzee yusuf voice)
 
Kuna baba mtoto ana pesa kama vuzi la mwendawazimu, mose iyobo ni baba mlezi kuna baba mzazi , kwa kimombo👉👉👉 there is biological father....

Mmh ukistaajabu ya baba mlezi wa mimba ya zari utayaona ya baba mlezi wa aunty moze iyobo
 
Kwa iyo unataka kunambia jokate ana uraia wa marekani?
Wajuvi wa mambo naomba mnijuze.
Nilidhani kigezo sio kuzaliwa kule tu bali kuzaliwa na kuishi kule....
Ngoja na mie nikajifungulie kule.

Ndo nataka kujua na mimi kama jokate nae ni black american, kumbe nasikia jokate ana mtoto?
 
1: Sugu ana uraia wa marekani na tz!

2: Mh Membe ana uraia wa Canada na Tanzania

3: Mh Leticea Nyerere ana uraia wa Marekani na Tanzania

4: Mh Nyalandu ana uraia wa Marekani na Tanzania

Aunt ezekiel ningemshauri angewahi angeenda hata Pakistani mtoto awe na uraia wa huko!

Ok nyalandu ana uraia wa marekani? Ndo maana aunty alipata visa kiurahisi, maana bongo movie na safar za ulaya ni kama mafuta na maji, wao trip zao morogoro na Tanga
 
get your facts together..
alizaliwa Washington DC..(kumbuka,Baada ya kufikisha miaka 18 unakuwa na haki ya kuchagua uwe raia wa wapi)..Tanzania hairuhusu uraia pacha,Je aliwezaje kushiriki mashindano ya Urembo kuanzia ngazi za chini mpaka ya kitaifa kama ni raia wa Marekani?

Jokate alizaliwa Washington
 
Huyo maisha yake y shida tu mtu huwa anatenda kwanza then wa2 nae mtamu.hao bongomovie akishika 10m yke tu mjini mzima utajua kua kahongwa yeye akazalie palestina hosp au mwananyamala hosp

Mambo ya kuzalia marekani awaachie akina Mrs mengi, bongo movie wapange foleni tu palestina au muhimbil kwa kina kajamba nani
 
Mmh ukistaajabu ya baba mlezi wa mimba ya zari utayaona ya baba mlezi wa aunty moze iyobo

Au ulidhani mose iyobo ndio anayegharamia safari))))))fuatilia watoto wa nani anayehusika wamezaliwa USA? Binaaamuuuu utajua lisemwalo lipo kama halipo linakuja
 
Huyo maisha yake y shida tu mtu huwa anatenda kwanza then wa2 nae mtamu.hao bongomovie akishika 10m yke tu mjini mzima utajua kua kahongwa yeye akazalie palestina hosp au mwananyamala hosp

Kujifanya na yeye anazo kumbe ushuzi tu nfyuuuu
 
Mambo ya kuzalia marekani awaachie akina Mrs mengi, bongo movie wapange foleni tu palestina au muhimbil kwa kina kajamba nani

Yani nimecheka Sana eti bongo movie wakapange foleni muhimbili ila jamni nachoshangaa mtu mimba ikiiwa kubwa Sana huruhusiwi kusafri inamaana alikua hajui au hawa bongo movie full drama tu
 
Back
Top Bottom