AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
Nyani Ngabu kumbe US citizenship ni deal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
k kweli ina thamani....wauza ngada kibao wameibanjua ....mr tembo kapiga kavu
Nyani Ngabu kumbe US citizenship ni deal
I suppose it is to some people but definitely not to me.
Mambo ya kuzalia marekani awaachie akina Mrs mengi, bongo movie wapange foleni tu palestina au muhimbil kwa kina kajamba nani
Binamu, faraja kota watoto wake wote kajifungulia marekani nadhani ilikuwa ni haki hata kwa ni mdogo kajifungulia huko ukizingatia baba ana uraia wa marekani
mmmh mwenzi anauma munooohahahaaaqa....wabongo kila mtu spy..!!faraja akubali maumivu tuuu!!mradi anpata anachokipata baasss plus ma selfie ya kuturusha roho ig na shosti zake inatosha kuridhika na hali!!
Karusha IG ndani ya nusu saa iliyopita.
Kapendeza ila ilo tumbo kama anq utapiamlo
Tatizo hana nyota, watu ata hawamfuatilii ndio maana wengi hawakujua, ila angekuwa wema ata panya wangejua
Kapendeza ila ilo tumbo kama anq utapiamlo