Dokta Amzuia Aunty kujifungulia Marekani

Dokta Amzuia Aunty kujifungulia Marekani

Mambo ya kuzalia marekani awaachie akina Mrs mengi, bongo movie wapange foleni tu palestina au muhimbil kwa kina kajamba nani

Binamu, faraja kota watoto wake wote kajifungulia marekani nadhani ilikuwa ni haki hata kwa ni mdogo kajifungulia huko ukizingatia baba ana uraia wa marekani
 
Binamu, faraja kota watoto wake wote kajifungulia marekani nadhani ilikuwa ni haki hata kwa ni mdogo kajifungulia huko ukizingatia baba ana uraia wa marekani

Kuna waziri ana uraia pacha?
 
Karusha IG ndani ya nusu saa iliyopita.
 
Attachments

  • 1430146784372.jpg
    1430146784372.jpg
    74.4 KB · Views: 166
Hahahahahahah binam af iv hamisa mabeto mbon mimb yake imekua haraka harak alkua anaificha wap

Tatizo hana nyota, watu ata hawamfuatilii ndio maana wengi hawakujua, ila angekuwa wema ata panya wangejua
 
Tatizo hana nyota, watu ata hawamfuatilii ndio maana wengi hawakujua, ila angekuwa wema ata panya wangejua

Nashangaa nmeingia insta naon tu mipicha yake na tumbo lake alivyo uch nkashangaa mimba kaipata lin kwel miez inaend bina
 
Back
Top Bottom