Dokta Greyson Babishomba: Kuchat usiku kunaharibu figo

Dokta Greyson Babishomba: Kuchat usiku kunaharibu figo

Ukiwasikiliza sana madokta ni upuuzi sometime sasa ww unajilindaaa weee unafata mashariti yao unakuja kugongwa na boda boda unakufilia mbali na raha hukula kisa unataka kua mlinzi wa dunia.Kula raha bwana kifo kipo pale pale.
 
Hii nchi kila mahali ni mizaha mizaha tu ndio maana wanaotawala wanaona wanatawala mazezeta, Media zinatoa airtime kwenye mambo ya kishenzi shenzi hakuna mijadala yenye tija ni upuuzi puuzi tu kuanzia asubuhi hadi usiku, mfano angalia muundo wa vipindi vya redio vyote hapa nchini saa 1 hadi saa 5 asubuhi michezo, saa 6 hadi 7 -8 mchana vipindi vya kishenzi vya wamama wa nyumbani wakijazwa ujinga na watangazaji mazuzu, saa 7 - 8 hadi saa 10 jioni muziki, 11 - 12/ 1 usiku mazungumzo ya kijinga jinga kama ya saa 6 - 8 mchana ila haya yanaongozwa na wanaume, 1 -2 hadi saa 4-5 usiku uchambuzi wa michezo. WTF???!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ndio kwanza February inaishia. Mpaka kufika December tutasikia na kuona mengi
 
Lol... Hawa wataalamu wa siku hizi bwana, na bado tunaambiwa tule milo miwili hata kama hufanyi kazi za kukaa ofisini.

Ova
Naona kila mmoja anakuja la lake, thou milo miwili naona imekaa poa sana b…

Mwanzoni wakati naanza safari ya kukata kgs nilifanya hivyo, iko effective sana.
 
Back
Top Bottom