Dokta Greyson Babishomba: Kuchat usiku kunaharibu figo

Dokta Greyson Babishomba: Kuchat usiku kunaharibu figo

Madoctor wa sasa hivi wamekuwa kama waganga wa kienyeji
 
Naona kila mmoja anakuja la lake, thou milo miwili naona imekaa poa sana b…

Mwanzoni wakati naanza safari ya kukata kgs nilifanya hivyo, iko effective sana.
Wajua kwenye vijiji vingi watu hula milo miwili tu, asubuhi huwa inapita tu wima. Huwa wanakula mchana na usiku. Hata wakati wa saumu ni milo miwili tu.

Ova
 
Wajua kwenye vijiji vingi watu hula milo miwili tu, asubuhi huwa inapita tu wima. Huwa wanakula mchana na usiku. Hata wakati wa saumu ni milo miwili tu.

Ova
B... Sisi waroho tukitoka Taraweh tunashtua kidogo kabla ya daku.
Nakwambia mapemaaaaa. Lols
 
Duh! B... kuna watu wamejaaliwa matumbo jamani!

Ova
No b…, sikia.
Wakati wa Iftar tunakula kidogo sana as unaelewa kutwa nzima hujala huwezi kula sana, na ukila sana mtihani kusinzia kwenye Taraweh.

Hivyo sisi wajanja (waroho) tunakula kidogo, tukitoka Taraweh ni juice na kula kidogo tena.
Daku kidogo hapo fresh
 
B... Sisi waroho tukitoka Taraweh tunashtua kidogo kabla ya daku.
Nakwambia mapemaaaaa. Lols
Ramadhani kadhaa nimekuwa sio mlaji wa daku ya nguvu,memu yangu ni ftari na maji mengi ndio daku yangu.

Unene uliopitiliza tutausikia kwa jirani
 
Back
Top Bottom