Hii nchi kila mahali ni mizaha mizaha tu ndio maana wanaotawala wanaona wanatawala mazezeta, Media zinatoa airtime kwenye mambo ya kishenzi shenzi hakuna mijadala yenye tija ni upuuzi puuzi tu kuanzia asubuhi hadi usiku, mfano angalia muundo wa vipindi vya redio vyote hapa nchini saa 1 hadi saa 5 asubuhi michezo, saa 6 hadi 7 -8 mchana vipindi vya kishenzi vya wamama wa nyumbani wakijazwa ujinga na watangazaji mazuzu, saa 7 - 8 hadi saa 10 jioni muziki, 11 - 12/ 1 usiku mazungumzo ya kijinga jinga kama ya saa 6 - 8 mchana ila haya yanaongozwa na wanaume, 1 -2 hadi saa 4-5 usiku uchambuzi wa michezo. WTF???!!!!!!!!!!!!!!!!!