Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Dokta mwaka ulikosea sana mambo yako kuweka kwenye media ulivojitamba unawamudu wake zako mpaka kutuambia mnalala kitanda kimoja wake watatu.
Sasa leo siri zako zitatue kwenye media ndio ulipojiweka.
Sasa leo siri zako zitatue kwenye media ndio ulipojiweka.