Dokta Mwaka, kama mambo yako ya familia na maisha unaweka kwenye media utamaliza kwenye media

Dokta Mwaka, kama mambo yako ya familia na maisha unaweka kwenye media utamaliza kwenye media

Alijisifu anaamshwa asubui na mabakuli ya supu na uji kutoka kwa queen
Asijue wenzake hivyo vitu wanatamani ila huenda hawafanyiwi huko
Usikute kuna mdau kashapanda bei kwa queen ili nae aamshwe na mabakuli ya supu sasa dr.anahaha🤣🤣🤣🤣
Wanaume acheni kuwasifia wake zenu mbele ya rafiki zenu au kadamnasi shauri yenu!
 
Back
Top Bottom