Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
😆Watu wanne kitandani hiyo ni orgy. Yaani mbususu chumba kizima, ukigeuka huku tako ukigeuka huku chumvichumvi. Huyu mpwa akifika Peponi ashangaishangai, maana ashazoea
Kamfukuzisha kazi shehe wetu wa mkoa, kisa ugomvi wake na mke wake ba bado anabwabwaja upumbafuDokta mwaka ulikosea sana mambo yako kuweka kwenye media ulivojitamba unawamudu wake zako mpaka kutuambia mnalala kitanda kimoja wake watatu.
Sasa leo siri zako zitatue kwenye media ndio ulipojiweka.
Unataka umpeleke mama J nyumban?Mashehe mnijuze, uislamu unazuia kulala na wake 3 kitanda kimoja?
Ndio mkuu, Ila kuishi nao nyumba moja kwa kila mke chumba chake haina tatizoMashehe mnijuze, uislamu unazuia kulala na wake 3 kitanda kimoja?
Katembeza hongo kwenye baraza la Ulamaa sheikh wa mkoa akapigwa chini, polisi nako katembeza hongo yaani hata mahakamani atatembeza hongo.Kamfukuzisha kazi shehe wetu wa mkoa, kisa ugomvi wake na mke wake ba bado anabwabwaja upumbafu