Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Nakumbuka nikiwa chuo nilikua nakaa na wanafunzi wa bvm daaah kuna siku jamaa mmoja kaja room amenuna na machozi yanalenga lenga akaanza kusema naacha chuo niapply udsm laboratory science!!Wakuu naomba kuuliza
Dokta wa mifugo anachukua
BVM (BSc in veterinary medicine) Au BSc in animal science????!!! [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Zé unique named bwoy
Baada ya kumchunguza kiundan nikagundua jamaa alipata 6 ya mia (6%) kwenye test hahahaha wengine nao wakaja nashangaa wamenuna wote na wote wamechezea below!!
Tulichomwambia aache utoto ajikaze kiume maana hata sisi tunapata mpaka zero ila tunajikaza kiume hahahaa!!!
Jamaa alikomaa nadhan mwaka huu ndio anamaliza mwaka wa tano!!!
Kwa ushauri tu, kama unakichwa cha panzi usiguse bvm, ila kama unauhakika wa kutulia na kusoma kwa bidii BILA KUKATA TAMAA hutajuta kusoma BVM! infact kwa Tz bvm inatolewa SUA pekee na kwa EA inatolewa SUA, makerere na nairobi university kama sijakosea!!!