Dokta wa mifugo anasoma BVM (BSc in veterinary medicine) au BSc in animal science?

Dokta wa mifugo anasoma BVM (BSc in veterinary medicine) au BSc in animal science?

Nimefurahishwa na huyo Jamaa anyetetea SOKOINE UNIVERSITY OF ASSIGNMENTS. ..SUA..

BVM iliwaacha wachache salama..VET ni faculty yenye visasi...Kuna maprof wenye mambo yakudisco watu kwa makusudi..

Namkumbuka jamaa alsoma akadisco mwaka WA 7..tulimzoea tukamuita Dr.Mwakifuna..waliopita 2005...09..mtamkumbuka..

Ila ni course nzuri sana babu ukaze msuli kuwasoma wanyama wote duniani..from mimba..ukuaji magojwa..matibabu..operation and sometimes botany kidogo ikusaidie kufanya uchunguzi Katika history taking and clinical sign ..nk

Hii ndio gegree program iliyobeba contents nyingi kuliko zote duniani. ..

Muhimbili wanamsoma binadamu pekeyake..we're all animals ...lakini wao humsoma mtu basi..

SUA unawasoma woooteeee...
Nirahisi kumsifia mtu kasoma MUHANS...UKASHINDWA KUJUA SUA KUNA BVM...

hii kitu inataka committed candidates

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wandugu hii data si ya kweli, ikiwa hivyo hiki chuo kingefungwa. Ni kweli BVM ina msuli kutokana na volume kubwa ya material na ufuatiliaji wa karibu wa curriculum hivyo inahitaji commitment kubwa kutoka kwa wanafunzi. Zaidi ya hapo wengi wanao ingia BVM humaliza tuseme zaidi ya 80% kwa miaka 5. Hivyo msikatishwe tamaa.
Uciahirishe ndg n kutishiana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom