Dokta wa mifugo anasoma BVM (BSc in veterinary medicine) au BSc in animal science?

Nimefurahishwa na huyo Jamaa anyetetea SOKOINE UNIVERSITY OF ASSIGNMENTS. ..SUA..

BVM iliwaacha wachache salama..VET ni faculty yenye visasi...Kuna maprof wenye mambo yakudisco watu kwa makusudi..

Namkumbuka jamaa alsoma akadisco mwaka WA 7..tulimzoea tukamuita Dr.Mwakifuna..waliopita 2005...09..mtamkumbuka..

Ila ni course nzuri sana babu ukaze msuli kuwasoma wanyama wote duniani..from mimba..ukuaji magojwa..matibabu..operation and sometimes botany kidogo ikusaidie kufanya uchunguzi Katika history taking and clinical sign ..nk

Hii ndio gegree program iliyobeba contents nyingi kuliko zote duniani. ..

Muhimbili wanamsoma binadamu pekeyake..we're all animals ...lakini wao humsoma mtu basi..

SUA unawasoma woooteeee...
Nirahisi kumsifia mtu kasoma MUHANS...UKASHINDWA KUJUA SUA KUNA BVM...

hii kitu inataka committed candidates

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uciahirishe ndg n kutishiana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marketability wakuu plz msaada wenu

Zé unique named bwoy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…