Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeeSimu yangu haitak kufuta meseji za michepuko wangu zingine inafuta
Uni taghow to block a single individual's number, yani akipiga akute sipatikani sio niko busy
usijali mkuuUni tag
Nikiwa nimebobea kwenye masuala ya simu hususani software ,nakaribisha maswali kuhusu simu hasa za smartphone karibuni......
naomba nisaidie jina la hiyo app mkuu,Kuna app ya kudownload na kuna uwezekano wa kui divert namba isiyokuw hewani