Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Habari wanaJf,
Kumekuwa na upungufu wa Dola ya Kimarekani baada ya kutengamaa kwa kipindi kisichozidi miezi minne, kwasasa inapanda kwa kasi na imekuwa adimu ghafla na bila kuwa na Akaunti ya Dollar, baadhi ya Benki huwezi kupata.
Wafanyabiashara wanaoagiza mizigo toka nje ya nchi wanahaha kutafuta Dollars kwenye Black market,huku wakitegemea wageni kama WaCongo, Malawi na wazambia pamoja na watu walio kwenye industry ya utalii.
Serikali kupitia wizara ya Fedha toeni tamko ni nini kimetokea kwasababu wale wanaotegemea kuagiza mizigo nje ya nchi wanapata changamoto kubwa wakati huu.
Soma: Dollar inaanza kupanda thamani dhidi ya Shilingi