Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Ngoja nipite tuHabari wanaJf,
Kumekuwa na upungufu wa Dola ya Kimarekani baada ya kutengamaa kwa kipindi kisichozidi miezi minne, kwasasa inapanda kwa kasi na imekuwa adimu ghafla na bila kuwa na Akaunti ya Dollar, baadhi ya Benki huwezi kupata.
Wafanyabiashara wanaoagiza mizigo toka nje ya nchi wanahaha kutafuta Dollars kwenye Black market,huku wakitegemea wageni kama WaCongo, Malawi na wazambia pamoja na watu walio kwenye industry ya utalii.
Serikali kupitia wizara ya Fedha toeni tamko ni nini kimetokea kwasababu wale wanaotegemea kuagiza mizigo nje ya nchi wanapata changamoto kubwa wakati huu.
Habari wanaJf,

Soma: Dollar inaanza kupanda thamani dhidi ya Shilingi
Black market Leo $1=2750Bureau Exchange nako ni matapeli kinoma. Nimeuziwa $1 ghali sana juzi kati afu risiti ya Tsh 2600/=
Tupe connectionBlack market Leo $1=2750
Haihitaji connectionTupe connection
Mkuu hapo Dar kwenye maduka ya kubadlisha Rate inasomekajeHabari wanaJf,
Kumekuwa na upungufu wa Dola ya Kimarekani baada ya kutengamaa kwa kipindi kisichozidi miezi minne, kwasasa inapanda kwa kasi na imekuwa adimu ghafla na bila kuwa na Akaunti ya Dollar, baadhi ya Benki huwezi kupata.
Wafanyabiashara wanaoagiza mizigo toka nje ya nchi wanahaha kutafuta Dollars kwenye Black market,huku wakitegemea wageni kama WaCongo, Malawi na wazambia pamoja na watu walio kwenye industry ya utalii.
Serikali kupitia wizara ya Fedha toeni tamko ni nini kimetokea kwasababu wale wanaotegemea kuagiza mizigo nje ya nchi wanapata changamoto kubwa wakati huu.
Soma: Dollar inaanza kupanda thamani dhidi ya Shilingi
Hizi USDT ninazo nyingi shida huwez pata USD physically , inakua ivo wired basNjia za panya huku dola 1 kiwango cha chini ni 2,727View attachment 3211390