Dola hutumia nadharia njama kututoa tusijadili mambo ya maana badala yake tujadili uzushi?

Tume ya Mipango ambapo namba mbili wa sasa alikulia huko
 

Mijadala isiyokuwa na matendo haiwezi kuwa na tija.
 
Ndivyo ilivyo. Ripoti ya siejii na pisisibii zilipokelewa siku moja kabla ya ujio wa Kamala ili kupunguza attention. Baada ya mgeni kuondoka tukapigwa na mazingaombwe ya mawaziri wawili kubadilishana wizara
 
Habari nyingine za maana lakini zinakuja wakati mbaya. Kwa mfano habari ya mashoga. Sasa watu walioainishwa na CAG kwamba wameiba hela wote watasepa wakati sisi tunawatafuta mashoga.
Au,persistently,watu wanasema Magufuli ameuawa. Useless people,wale Kigogo na yule Veronica France,wanazungumza maneno yasiyokuwa na maana. Lakini we are not getting enough information to investigate it.
 
Ulitaka watu wasijadili habari za michezo,Burudani n.k wajadili siasa tu? Wapi ipo hivyo duniani?
 
Mbona huzungumzii habari za hovyo za online TV. Moja imeandika "ailyemwua magufuli amepatikana"
 
Mbona huzungumzii habari za hovyo za online TV. Moja imeandika "ailyemwua magufuli amepatikana"
Huyo hana lengo la kuleta mjadala kukwepesha jambo, bali anafanya hivyo kwachota wajinga ili apate "Views" nyingi na labda wajinga hao watamuona yeye ni mwerevu, na mwisho wa siku wa-subscribe kwenye tovuti yake.
 

Brazil wenyewe wanapenda mpira ila huwezi kuwakuta wakijadili mpira siku nzima.

Kwetu ni too much, hebu angalia Kenya
Wenye kujadili mpira watajadili na wenye kujadili siasa muda wote watajadili ndio ipo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…