Dola(katika siasa) kwa tafsiri ya Kiswahili ni nini? Kwa Kingereza "dola" inaitwaje?

Dola(katika siasa) kwa tafsiri ya Kiswahili ni nini? Kwa Kingereza "dola" inaitwaje?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Hili neno huwa nasikia linatamkwa tu ila sijawahi kuelewa maana yake kwa Kiswahili au Kingereza,
Dola ya Kirumi
Dola ya Kimarekani
Vyombo vya dola
Kushika dola
Kingereza cha "dola" ni nini?
20240911_062259.jpg
 
Dola kivyetu vyetu ni mamlaka / mhimili uliyojichimbia.
 
Dola ni mamlaka kiutawala.Empire/state.Kwa kuwa lugha huzaliwa na kukua,basi matumizi yake hubadilika hivyohivyo.Hapo ni kwa ufupi ili tusichanganyane ubongo mmoja wetu akagongwa na guta.
 
Hili neno huwa nasikia linatamkwa tu ila sijawahi kuelewa maana yake kwa Kiswahili au Kingereza,
Dola ya Kirumi
Dola ya Kimarekani
Vyombo vya dola
Kushika dola
Kingereza cha "dola" ni nini?
View attachment 3092939
State, Empire inategemea unalenga nini.

Ila United States Dollar ni hela
 
State apparatus (Polisi, JW, Magereza, Mahakama).

Yaani taasisi inayoweza kutumia nguvu zake kulinda masilahi ya Serikali
Kuna jamaa mbishi huyo.Ananiambia kuna dola:serikali tendaji,bunge na mahakama.Halafu akapiga funda la mbege na kuendelea;vyombo vya dola ni polisi,magereza,uhamiaji,teeth,makhirikhiri,dikakapa na the unknowns ...!Nikabaki natabasamu kispoti tu.🤔
 
Back
Top Bottom