T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Tukizuia vijana watafanya uzalishaji na kuongeza ajira. Hivi unataka kuniambia viti vya mbao vikizuiwa kuagizwa China vijana watakosa kuvitengeneza?Tukizuia Vijana watafanya biashara gani?
Mimi nanunua online kwa 2500/$Kwa zaidi ya siku 10 nimekuwa nikitafuta dola 12,000 kwa ajili ya kuweza kuagiza vitu fulani China.
Nimezunguka kwenye mabenki yote makubwa, jibu lao hatuna USD. Nimeenda bureau de change, nako nimezunguka sana.
Jana jioni nikafika kwenye duka moja la kubadilishia fedha, nilipoingia ndani wakaniambia hawana dola, nikatoka nje. Mlinzi akaniita, akasema dola ni Tzs 3,200/ nikasema that's too much, wakanishusha hadi 3,000/-
Mama yangu Samia Suluhu Hassan, hii hali ni mbaya, huko tunakoelekea nchi itaweza kuingia kwenye mfumuko mkubwa sana wa bei, hyper inflation, maana dola ni adimu, inapatikana kwa gharama kubwa. Hii itapelekea kupanda sana kwa bei ya bidhaa hasa ukizingatia zaidi ya 95% ya bidhaa tunazozitumia tunaagiza kutoka nje ambako tunanunua kwa pesa za kigeni
Dah asante mkuu ushauri mzuri umenipa, siku ile pale nilikuta crdb na nbc ndio wako wazi na nbc bei yao ilikuwa imesimamia kucha,kumbe ningeenda postal bankNext time tumia postal bank...wao wako chini kuliko bank zote...
Niliwahi ona mdada 1 wa nmb ukimpa anaenda bank ya posta ,so na ye anapiga kiasi fulani.....
Ila sijui Kwa ss
Nini kinazuia wasifanye uzalishaji saizi?Tukizuia vijana watafanya uzalishaji na kuongeza ajira. Hivi unataka kuniambia viti vya mbao vikizuiwa kuagizwa China vijana watakosa kuvitengeneza?
Tukizuia kuagiza ndala na yeboyebo watu watatembea peku?
Zuia vitenge kutoka China uone kama viwanda vya Urafiki na wenzake havikui, uone kama wakulima hawakimi pamba
Angesaidia nini chizi yule, yaani dunia ibadilike na mambo yawe magumu wewe uone kwamba eti jiwe angeweza kufanya kitu, thubutuuuuuuR.I.P Magufuli
Kwann China isitoe tamko bidhaa zake zinunuliwe kwa yuan badala ya US
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Unfair competition, wewe unaweza compete na kampuni ya Kichina inayopewa ruzuku na serikali, ikakopeshwa mabilioni na benki zao, haibambikiwi kodi na bado ikija bongo inahonga officials?Nini kinazuia wasifanye uzalishaji saizi?
Russia hawana shida na Dolla,Warusi wenyewe wanataka dollar!!! Tatizo hamna export!! Mna unfavourable balance of trade!!
Kinachouma zaidi ni kuwa Rais analitambua hilo na hajalifanyia kazi maana lazima Waziri wa Fedha ambaye ni Makamu alihusikaMtu anaiba Tshs. Trillion 2, anazibadilisha kuwa dollar halafu anaenda kuficha nje ya nchi, unategemea nini?
Ila fanya malipo online, pesa inajibadilisha yenyewe.
Kenya Wananchi wana zaidi ya dollar bilion 10 kwenye account zao.Kenya hali tete
Wewe huna akiliSio bongo tu ni Dunia nzima, sahivi US kuprint karatas zake anaogopa nchi nyingi sahv zinapunguza dependency ya Dollar
Hata e payment inahitaji bank husika iwe na dollarHuwezi fanya soft transfer?
We jamaa unajua uchumi ulivyo?Ni furaha kusikia kwamba benki ya Tanzania (B.o.T) ilianzisha huduma ya kifedha ya Akaunti ya Yuan ya China (or RMB) kwa ajili ya wateja. Kwa urahisi na upatikanaji wake rahisi wa RMB
Inahitajika nchi zifanye biashara ili fedha za nchi husika zipatikane.Kwann China isitoe tamko bidhaa zake zinunuliwe kwa yuan badala ya US
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Epayment ni tofauti na cash mzee.Hata e payment inahitaji bank husika iwe na dollar
Kwa nini unauliza hivyo mchumi?We jamaa unajua uchumi ulivyo?
Nunua Yuan kama unaagiza mzigo ChinaKwa zaidi ya siku 10 nimekuwa nikitafuta dola 12,000 kwa ajili ya kuweza kuagiza vitu fulani China.
Nimezunguka kwenye mabenki yote makubwa, jibu lao hatuna USD. Nimeenda bureau de change, nako nimezunguka sana.
Jana jioni nikafika kwenye duka moja la kubadilishia fedha, nilipoingia ndani wakaniambia hawana dola, nikatoka nje. Mlinzi akaniita, akasema dola ni Tzs 3,200/ nikasema that's too much, wakanishusha hadi 3,000/-
Mama yangu Samia Suluhu Hassan, hii hali ni mbaya, huko tunakoelekea nchi itaweza kuingia kwenye mfumuko mkubwa sana wa bei, hyper inflation, maana dola ni adimu, inapatikana kwa gharama kubwa. Hii itapelekea kupanda sana kwa bei ya bidhaa hasa ukizingatia zaidi ya 95% ya bidhaa tunazozitumia tunaagiza kutoka nje ambako tunanunua kwa pesa za kigeni.