DOKEZO Dola zimeadimika, bei ya black market ni Tzs 3000-3200 kwa noti za $.50 & 100

DOKEZO Dola zimeadimika, bei ya black market ni Tzs 3000-3200 kwa noti za $.50 & 100

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
hard cash inaaza kwanza ndiyo inafata e-cash
huna hard cash, huna e-cash, huna online transaction
na hifadhi ni hard cash
I stand corrected
Ili bank iweze kuuza dollar ni lazima ipate mtu anaeuza dollar inunue kwake ndio iweze kuuza so haijalishi hiyo hela ni hard cash or not so kinachotokea saiv ni kwamba dollar zinakuja kwa kiasi kidogo na wakati importation ni kubwa.
 
Dah asante mkuu ushauri mzuri umenipa, siku ile pale nilikuta crdb na nbc ndio wako wazi na nbc bei yao ilikuwa imesimamia kucha,kumbe ningeenda postal bank
Yes ,jaribu na hapo pia,Hawa wengine ni balaa...
Nilishabadirisha sa kumi alfajiri pale
Sijui sshv maana mambo yanabadirika Kila siku
 
hard cash or not
hata hiyo e-cash wanayoitoa huko wanakokujua, ilianza kua hard cash mzee
hoja ni kwamba, kukimbilia mbadilishano wa hela kwa online, hakusaidii kama hifadhi imeyumba
 
Kama una account bank yenye hiyo hela kwa Shilingi, waambie unaowalipa huko china wakupe account namba za benk zao (bank details).

Ukienda bank kwako hapa Bongo, waambe wakupe form ya Bank transfer, waambie unataka kulipa hela China. Watakupa rate ambayo utajaza baada ya hapo Bank yako itabadilisha yenyewe kwa rate ya siku hiyo na kulipa Bank ya China.

Pole sana kwa Changamoto....
Ndiyo maana hata mimi nashangaa kwamba watu wameshindwa kuagiza mzigo China wakati pesa ya China inatumika. Ni wakati sasa wafanyabiashara kubadilika siyo tu kutegemea Dola na China nao waibrand fedha Yao, huyu ujinga wa Marekani wa kulazimisha indirectly watu kuitumia Dola utakoma.
 
hard cash inaaza kwanza ndiyo inafata e-cash
huna hard cash, huna e-cash, huna online transaction
na hifadhi ni hard cash
I stand corrected
Soft cash exchange ni tofauti na hard cash exchange mzee....
 
Kula mtori nikulipie at least umetoa facts!! Kuna mwehu mmoja kamkumbuka jiwe
Huyo siyo mwehu bali ana akili sana!

Jiwe alitaka tupunguze utegemeezi wa kuagiza kila kitu hata sukari wakati tuna kila kitu.

Ila nyie mataahira na wapumbavu mkamtukana eti atawagombanisha na mabwana zenu wazungu
 
Hahahaaahaaaa aisee pole Sana hakika wewe ni mshamba Sana na hujiekewi!! Ndio nyie mliamini Magufuli alikuwa Mungu!! Kwa taarifa Yako hili ni tatizo la Dunia nzima hata angekuwepo huyo Mungu wako lingetokea tuu!!?
NB : Mama kapandisha mishahara,madaraja,pia ameajiri wakati Mungu wako walishindwa!!!
Suk gang ziiiiiiiiiiii
Neno Mungu hakika unalitumia vibaya ndugu
 
Angesaidia nini chizi yule, yaani dunia ibadilike na mambo yawe magumu wewe uone kwamba eti jiwe angeweza kufanya kitu, thubutuuuuuu
Ndio aliekuokoa kwa corona maana angesema ufungiwe wewe na ukoo wako wote mngekufa kwa njaa!

Coment hii kamuoneshe hadi b mkubwa wako
 
Sio Kenya tuu Hadi Uturuki..

Ni hivi mfumuko wa bei ya vitu Duniani ulioanzia kwenye Uviko na Sasa vita za Ukraine umesababisha shida hiyo kwenye Nchi nyingi za Dunia.

Kuanzia Ghana Hadi Egypt huko wanaomba mikopo imf Ili kukojoa uchumi zao..
Tanzania tuna nafuu sana na kinachotuokoa ni kwamba vyakula vingi hatuagizi Nje,sie vitu vya viwandani ndio tunaagiza so Serikali inaweka kufanya rationing na maisha yakaenda vizuri.
Hapa mnachofanya ni kutetea tu. Wewe una hata idea how this crisis works and how does it happen?!

Ngoja nikupe mfano kidogo ili uweze kusoma ramani ya nini kinaendelea.

Fumba macho yako hapo halafu wazia kuwa tunafanya biashara kwa barter trade yaani wewe nyumbani kwako hapo na jamii iliyokuzunguka mnatumia ngano.

Sasa ngano iwe ndio nafaka inayokubalika kuliko nafaka zote. Yaani ukiwa na kisado cha ngano unaweza hata badilishana na mtu mwenye ngombe. Yaani kisado kimoja cha ngano kiwe sawa na gunia 5 za mchele na ni sawa na gunia 10 za mahindi.

Sasa hapo ndani kwenye store muwe na gunia kadhaa za ngano mathalani tuseme gunia 100 tu. Halafu gunia hata 10,000 za mchele na 50,000 za mahindi na zingine za ufuta, zingine za nafaka zinginezo ambazo hazina uhitaji mkubwa sokoni.

Sasa namna nzuri ya kuongeza idadi ya gunia za ngano ni kwa kuwa na mbinu nzuri za matumizi ya hizi nafaka nyingine kuweza kupeleka bidhaa huko nje ambazo majirani watapenda na kukubali kubadilishana kwa ngano.

Mfano mkapika kashata za ufuta, wali, ugali na kuweza kuwapata wateja wa hizi bidhaa na kuweza kuzinunua kwa kisado cha ngano na kuwafanya kuongeza kwa kasi sana stock ya ngano mliyonayo na kuwapa purchasing power kubwa sababu mnayo nafaka inayohitajika katika soko kwa wingi sana kwenye store.

Kinyume chake ni mkae mkitumia ngano ya store kupata mahitaji mbali mbali na kuifanya kupungua kiasi kwamba ifikie minimum stock level ambayo hamtaweza sasa kusustain maisha yenu kwasababu hakuna ngano ya kutosha.

Kama umeelewa huu mfano, then kwenye ngano weka dola, na kwenye nafasi ya nafaka weka pesa yaani tz shilling halafu ongezea na resources zingine ghafi tulizonazo ambazo serikali hutumia kupatia mapato.

Sasa unahusishaje uhaba wa dola kwenye uchumi na vita vya Ukraine sijui COVID-19, yaani hivi vitu vinahusiana nini na sisi kukosa akili na uwezo wa kukusanya dollar wakati huko nje tumezungukwa na mataifa kibao ambayo yanahitaji bidhaa tunazoweza tengeneza hapa ndani na kuziuza kwa misingi ya dola.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo nchi sasa iko mikononi mwa mafisadi papa, eti Mwigulu awe waziri wa fedha nchi ibaki salama? Samia anayajua hayo na ana sababu zake za kuyafumbia macho
Swali la kujiuliza volume ya reserve ya dollar kwann inapungua kwa kasi benki kuu?! Pesa zinaenda wapi kufanya manunuzi yepi.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kama una account bank yenye hiyo hela kwa Shilingi, waambie unaowalipa huko china wakupe account namba za benk zao (bank details).

Ukienda bank kwako hapa Bongo, waambie wakupe form ya Bank transfer, waambie unataka kulipa hela China. Watakupa rate ambayo utajaza baada ya hapo Bank yako itabadilisha yenyewe kwa rate ya siku hiyo na kulipa Bank ya China.

Pole sana kwa Changamoto....
Halafu hao benki wanatoa wapi hizo dollar? Wanasongesha ?!

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
soft exchange lazima kuwe na broker, mf: bank , unarudi palepale
siyo rahisi kama unavyodhani
Kwahiyo ukilipia kitu amazon kupitia Mpesa visa card itabidi Voda wawapelekee Cash amazon? 😄😄😄😄😄😄
 
Hahahaaahaaaa aisee pole Sana hakika wewe ni mshamba Sana na hujiekewi!! Ndio nyie mliamini Magufuli alikuwa Mungu!! Kwa taarifa Yako hili ni tatizo la Dunia nzima hata angekuwepo huyo Mungu wako lingetokea tuu!!?
NB : Mama kapandisha mishahara,madaraja,pia ameajiri wakati Mungu wako walishindwa!!!
Suk gang ziiiiiiiiiiii
Haujamuelewa tu hapo. Ungemuelewa ungejua kwann kamtaja.

Tunahitaji rais ambaye atatuoa kwenye utegemezi mkubwa wa mataifa ya nje na hivyo kupunguza ulazima wa kuwa na currency yao.

Mfano tukiweza kuboresha miundo mbinu na kuimprove internal trade yaani biashara na uchumi wa ndani utagundua sisi tuna utegemezi mdogo sana wa kimahitaji kwa mataifa ya nje.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hapa mnachofanya ni kutetea tu. Wewe una hata idea how this crisis works and how does it happen?!

Ngoja nikupe mfano kidogo ili uweze kusoma ramani ya nini kinaendelea.

Fumba macho yako hapo halafu wazia kuwa tunafanya biashara kwa barter trade yaani wewe nyumbani kwako hapo na jamii iliyokuzunguka mnatumia ngano.

Sasa ngano iwe ndio nafaka inayokubalika kuliko nafaka zote. Yaani ukiwa na kisado cha ngano unaweza hata badilishana na mtu mwenye ngombe. Yaani kisado kimoja cha ngano kiwe sawa na gunia 5 za mchele na ni sawa na gunia 10 za mahindi.

Sasa hapo ndani kwenye store muwe na gunia kadhaa za ngano mathalani tuseme gunia 100 tu. Halafu gunia hata 10,000 za mchele na 50,000 za mahindi na zingine za ufuta, zingine za nafaka zinginezo ambazo hazina uhitaji mkubwa sokoni.

Sasa namna nzuri ya kuongeza idadi ya gunia za ngano ni kwa kuwa na mbinu nzuri za matumizi ya hizi nafaka nyingine kuweza kupeleka bidhaa huko nje ambazo majirani watapenda na kukubali kubadilishana kwa ngano.

Mfano mkapika kashata za ufuta, wali, ugali na kuweza kuwapata wateja wa hizi bidhaa na kuweza kuzinunua kwa kisado cha ngano na kuwafanya kuongeza kwa kasi sana stock ya ngano mliyonayo na kuwapa purchasing power kubwa sababu mnayo nafaka inayohitajika katika soko kwa wingi sana kwenye store.

Kinyume chake ni mkae mkitumia ngano ya store kupata mahitaji mbali mbali na kuifanya kupungua kiasi kwamba ifikie minimum stock level ambayo hamtaweza sasa kusustain maisha yenu kwasababu hakuna ngano ya kutosha.

Kama umeelewa huu mfano, then kwenye ngano weka dola, na kwenye nafasi ya nafaka weka pesa yaani tz shilling halafu ongezea na resources zingine ghafi tulizonazo ambazo serikali hutumia kupatia mapato.

Sasa unahusishaje uhaba wa dola kwenye uchumi na vita vya Ukraine sijui COVID-19, yaani hivi vitu vinahusiana nini na sisi kukosa akili na uwezo wa kukusanya dollar wakati huko nje tumezungukwa na mataifa kibao ambayo yanahitaji bidhaa tunazoweza tengeneza hapa ndani na kuziuza kwa misingi ya dola.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Unaongea hadithi nyingi sana zisizo na uhalisia..

Kwa miaka yote ya Mwendazake mathalani Tanzania lini iliwekeza kwenye Kilimo kiasi tupate mazao mengi ya kuweza ku exports na kuweza kufidia gap ya kile tunachoagiza Kwa gharama kubwa? Maana tunavyoagiza ni vitu vingi vya msingi kama.mbolea,dawa,Mitambo,mavazi nk.,Vyote hivyo hatuna import substitu industries..
Kupepesa mdomo Kila mtu anaweza na kumbuka wakati unahangaika walau usianguke sana mahitaji ya Nchi yanakua hayako constant,kila.mwaka tunazaliana zaidi ya watu mil.3 wanazidi kuongeza kwenye mahitaji wakati kwenye uzalishaji ni Kasi ndogo.

Ndio maana Serikali inaongeza exports Kwa Madini,imeanza kuweka Nguvu kwenye Kilimo ,inaweka Nguvu kwenye Utalii nk nk
 
Hahahaaahaaaa aisee pole Sana hakika wewe ni mshamba Sana na hujiekewi!! Ndio nyie mliamini Magufuli alikuwa Mungu!! Kwa taarifa Yako hili ni tatizo la Dunia nzima hata angekuwepo huyo Mungu wako lingetokea tuu!!?
NB : Mama kapandisha mishahara,madaraja,pia ameajiri wakati Mungu wako walishindwa!!!
Suk gang ziiiiiiiiiiii
Maneno mawili Vs povu la Toss
 
Watetezi wajingawajinga pekee watajibu rahisi kwamba mbona nchi fulani napo kuna shida. Huwa nawaona wapumbavu sana wanaojibu namna hiyo.

Kwenye hili serikali inabeba full responsibility ya kubeba lawama. Sera mbovu za uchumi na usimamizi duni wa sheria zetu za masuala ya biashara na uchumi ndiyo zinatufikisha hapa.
 
Back
Top Bottom