Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Thank you brother. Tunaagiza hadi vitu ambavyo ilitakiwa vizalishwe hapa. Hapo ni lazima hii exchange currency ikate huko sokoni.Nchi hii tuna import matakataka mengi yasiyokua na tija. Mfano uingizaji wa pikipiki hizi substandard ni muda muafaka kuzuia. Lazima kukomesha uagizaji wa vitu vinavyopatikana nchini ili kuwa na balance of trade. Watu wanaingiza mpaka furnitures kutoka nje wakati tuna miti na mbao za kutosha na mafundi wazuri. Huu ujinga wanaulea serikali yenyewe. Ban imports za matakataka yasiyo na faida.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app