Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Humu ndani kuna changamoto sana ya elimu ya uchumi nadhani serikali inabidi watazame mitaala inafundisha nini especially masomo ya kibiashara na uchumi maana watoto ni vilaza balaa humu ndani.Hata e payment inahitaji bank husika iwe na dollar
Sasa huyo anahisi hela huwa ukipeleka benki wao benki kukubadilishia kuna kadude wanabonyeza.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app