ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #161
Acha ujinga,hoja ni tenda kushikwa na wazawa na hao wageni kuwa subcontractor.Magufuli ali balance acha ubishi.
Katika miradi mikubwa alihakikisha wazawa wengi wanajumuishwa katika huo mradi mgeni anakua msimamizi tu.
Refer uboreshaji wa MGR ya TRC kutoka jointed kuwa joint welded,asilimia 90 ya wafanyakazi walikua wazawa wachina walikua wanne tu kama wasimamizi.
Tofauti na miaka ya nyuma ilikua Mchina akija anakuja na wafanyakazi wake,hiyo MAGUFULI ALIKATAA.
Kwa sheria Mpya ya manunuzi hakuna consulting firm itakuwa leading buli consultancy zote watashika wazawa na hao ndio wataajiri wageni.