Dollar yaanza kupanda kwa kasi kurudi ilikotoka

Kuna washabiki niliwaambia hiki kitu wakabisha, now wako kimya kama vile hawaoni
 
Tumepunguza exports ukionahivyo....😂😂
 
Kwa mfano nilinunua dola za bilioni moja walati dola inauzwa 2290.
Nikaja kiziuza dola hizohizo kwa bei ya 2400 nitakuwa nimetengeneza faida kiasi gani hapo mtaalamu
 
Inarudi kule kule tu come mid january itafika 2800 tena
 
Huwa wanakurupuka sana, halafu wakiambiwa wanakaza mishipa ya shingo kwa ubishi. Ngoja sasa, safari imeanza. Ikija kufika April waaenda kuiokotea huko kwenye shilingi 3000 kwa $1
 
Hata kama imeshuka ulikuwa ukienda bank hawakuuzii kamwe. Mpaka maelezo unaenda kuzifanyia nini ? Alafu pia usingeweza kupata dolar kwa 2290 hata siku moja mzeee.
 
Tuliwaambia humu, vyawa wakajifanya wajuvi, waje sasa hivi wayoe sifa
Vyawa kwenye msiba walidai Mafuru alishusha dola. Mmatumbi kisa amejenga sijui Goba eti alimshauri Samia afanye mbinu ashushe dola.

Kina Jerome Power kule states wafanye yao, atokee mtu banana republic eti kashusha dola. Nilicheka😂
 
Vyawa kwenye msiba walidai Mafuru alishusha dola. Mmatumbi kisa amejenga sijui Goba eti alimshauri Samia afanye mbinu ashushe dola.

Kina Jerome Power kule states wafanye yao, atokee mtu banana republic eti kashusha dola. Nilicheka😂
Bongo ina watu wa hovyo sana. Huu ujinga wa kutafuta namna ya kusifia kila udhia au kupamba visivyopambika, kimzahamzaha sana nchi inapelekwa kwenye korongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…