Kama vile hawapo, na hakuna hata anayeshadadia kusema kuwa Dollar imepanda 🤣 🤣
Kwa nchi kama Tanzania isiyouza inachozalisha,,,, halafu kuna bwege eti wanakwambia wameishusha Dollar..
Mimi siuzi chochote kwasababu wote hatuwezi kuwa wauzaji ila wale walio kwenye sehemu husika yawapasa kufanya linalostahili.Mkuu, wewe unauza chochote nje au unadhani ni wajibu wa nani?
Watu hawashadadii sababu hata wakati inashuka hakuna aliyetaka ku acknowledge juhudi za serikali kwahiyo ikipanda pia msiwape lawana.
Wale Funza na kupe wa Samia waje hapa kumpa sifa tena huyo kikongwe waoHatari sana