Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Kama vile hawapo, na hakuna hata anayeshadadia kusema kuwa Dollar imepanda 🤣 🤣
Kwa nchi kama Tanzania isiyouza inachozalisha,,,, halafu kuna bwege eti wanakwambia wameishusha Dollar..
Mkuu, wewe unauza chochote nje au unadhani ni wajibu wa nani?
Watu hawashadadii sababu hata wakati inashuka hakuna aliyetaka ku acknowledge juhudi za serikali kwahiyo ikipanda pia msiwape lawana.