Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Baada ya dollar ya Marekani kupanda mfululizo mwaka huu hadi kufika 2750 kutoka 2250 hatimaye wiki hii imeanza kushuka kwa kasi nakufikia muda huu naandika nakala, hii imefikia 2375 huku ikitarajiwa kushuka zaidi siku zijazo.
Kulikoni nini kimetokea? Hii ina maana kwa mtu aliyenunua dollar wiki zilizopita kwa sasa ana hasara ya karibu 300 kwa kila dollar. Je Dollar kushuka dhidi ya tsh ni kuimarika kwa uchumi?
Wataalam mtujuze!