Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Acha uongoNadhani na Ile kampuni ya dhahabu imechangia panic kwa kuingiza mzigo wa kutosha.
Na ndio sababu pia kila Rais mpya Marekani akitaka kuapishwa hii Hali utokea miaka mingi Sana toka 2012 kwa ObamaAcha uongo
U.s federal reserve walishusha interest rate
Sioni kushuka kwa maana zaidi ya kujiridhisha.baada ya dollar ya marekani kupanda mfululizo mwaka huu hadi kufika 2750 kutoka 2250 hatimaye wiki hii imeanza kushuka kwa kasi nakufikia muds huu naandika nakala.hii imefikia 2490 huku ikitarajiwa kushuka zaidi siku zijazo. Kulikoni nini kimetokea? Hii ina maana kwa mtu aliyenunua dollar wiki zilizopita kwa sasa ana hasara ya karibu 300 kwa kila dollar. Je Dollar kushuka dhidi y tsh nikuimarika kwa uchumi? Wataalam mtujuze
Ni kweli Dollar imeanza kushuka na shilingi ya kitanzania imeanza kuimarika hi kwa sababu kuu mbilibaada ya dollar ya marekani kupanda mfululizo mwaka huu hadi kufika 2750 kutoka 2250 hatimaye wiki hii imeanza kushuka kwa kasi nakufikia muds huu naandika nakala.hii imefikia 2490 huku ikitarajiwa kushuka zaidi siku zijazo. Kulikoni nini kimetokea? Hii ina maana kwa mtu aliyenunua dollar wiki zilizopita kwa sasa ana hasara ya karibu 300 kwa kila dollar. Je Dollar kushuka dhidi y tsh nikuimarika kwa uchumi? Wataalam mtujuze
Acha uongoNi kweli Dollar imeanza kushuka na shilingi ya kitanzania imeanza kuimarika hi kwa sababu kuu mbili
1. BOT ilikua na mnada wa hadhara wa dola na ilinunua dola za kutosha ili kukidhi manunuzi mbalimbali
2. Mapema mwezi 11 serikali ilianza kununua dhahabu ambayo itaiwezesha serikali kuuza na kupata pesa za kigeni moja kwa moja. Serikali kununua dhahabu ilitakiwa kuanza hili muda mrefu sana ili kupambana na upungufu wa pesa za kigeni, ila tunashukuru kwa kuchukua hatua
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
sasa kama us federal walishusha interest rate, mbona baadhi ya sarafu za nchi kadhaa zina experience unprecedented depreciation of their currency nchi kama Zambia dhidi ya US dollar ?Acha uongo
U.s federal reserve walishusha interest rate
Hii ni hasara kwangu maana ela niliyokuwa napokea kipindi imepanda saaa inashuka kwa kasi.Ni kweli Dollar imeanza kushuka na shilingi ya kitanzania imeanza kuimarika hi kwa sababu kuu mbili
1. BOT ilikua na mnada wa hadhara wa dola na ilinunua dola za kutosha ili kukidhi manunuzi mbalimbali
2. Mapema mwezi 11 serikali ilianza kununua dhahabu ambayo itaiwezesha serikali kuuza na kupata pesa za kigeni moja kwa moja. Serikali kununua dhahabu ilitakiwa kuanza hili muda mrefu sana ili kupambana na upungufu wa pesa za kigeni, ila tunashukuru kwa kuchukua hatua
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Acha uongoShilingi ya tanzania itaendelea kuimarika hasa ukizingatia serikali imeondoa matumizi yasiyo ya lazima ya dollars kwa manunuzi ya ndani ya nchi,
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Kila nchi wana-monetary policy zao ambazo zinatofautianasema
sasa kama us federal walishusha interest rate, mbona baadhi ya sarafu za nchi kadhaa zina experience unprecedented depreciation of their currency nchi kama Zambia dhidi ya US dollar ?