Dollar yaanza kushuka kwa kasi

Hii ni hasara kwangu maana ela niliyokuwa napokea kipindi imepanda saaa inashuka kwa kasi.
Tatizo lako na watanzania wengi hamfuatili habari za masoko ya fedha tokea mwezi wa tisa u.s federal reserve walianza kushusha interest rate ilijulikana ni swala la mda tu dollar itaanza kushuka na wala sio rocket science
 
Ni kuimalika kwa BRICS
 
Acha uongo
U.s federal reseve alishusha interest rate ambayo iko 4.5
Bot hananguvu ya kucontrol soko la dollar acha uongo
BOT ana uwezo wa kucontrol mkuu njia zilizopo.
Kuzuia malipo yoyote ndani ya nchi kufanyika kwa dollar hii itapelekea kila mtu anayetaka huduma tanzania kununua shillings na kuifanya dollar ipatikane kwa wingi hivyo kushuka dhaman
Manunuzi ya dhahabu ambayo bot imelazimisha karibia kwa kila mauzo yanayofanyika bot inunue 10% ya mzigo wote na baadae kuuza na kuifanya kuwa wingi wa dollar hivyo kuendeleq kushuka
 
Makala na si nakala
 
Kitu nikile kile mkuu. Kwasababu kushuka kwa dolllar inamaana mfumuko wabei utakuwa chini na vitu vitashuka
Mkuu fundi ujenzi kama anapiga tiles 5000 kwa square meter hata dollar ipande ishuke yeye ni buku tano. Kama una mlinzia unamlipa laki hata dollar ipamde ishuke anaendelea kula laki. Kwa hiyo utaona kama umawalipa watu in tshs dollar ikipanda ni faida kwako. Same to karo za shule tunazolipa in tzs
 
Tatizo lako na watanzania wengi hamfuatili habari za masoko ya fedha tokea mwezi wa tisa u.s federal reserve walianza kushusha interest rate ilijulikana ni swala la mda tu dollar itaanza kushuka na wala sio rocket science
Nlisikia na nafuatilia usidhani nashikilia dola ila nalipwa kwa dola so kwangu ni hasara.
 
Kwa sisi tunaolipwa kwa dollar kazi tunayo...
 
Pia exports ya korosho na mazao mengine yanaweza pelekea kukawepo na surplus ya dollar
 
I
Kitu nikile kile mkuu. Kwasababu kushuka kwa dolllar inamaana mfumuko wabei utakuwa chini na vitu vitashuka
Ila ni hasara kwa wanaokuja nunua mizigo toka nje.
Mfano letsay natoka na dollar zangu mozambique 1000 ambayo kwa makadirio ningepata 2.6mil naja Pata 2.4 hivyo sitanunua vitu Virginia maana ntakuwa na hasara ya laki mbili hivyo gharama inakuwa kubwa kwa exporter na itadiscourage exportation huku importation ikiongezeka
 
Tanzania Haina uwezo wa kuipeleka Dola,
Saivi BRICS wame adapt malipo kwa local currency,
Pia karibia malipo kwa Dola yameshuka almost 50% kidunia.
Pia gold inapanda mno Bei ivyo lazima investors wanauza Dola wananunua gold so lazima Dola ishuke thamani.
Huwa nawacheki watu wanachonga mara serikali imepunguza mafuta Bei unakuta hata soko.la dunia yameshuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…