Dollar yaanza kushuka kwa kasi

Dollar yaanza kushuka kwa kasi

Swala unauza nini
Wewe unauza raw material mwenzako anauza final products unazani mtakua sawa acha kujidanganya
Hata huyo marekani anauza raw materials kama wewe na ni biashara kubwa ambayo hawez acha[ soybean, wheat, corn) Russia ndo muuzaji mkubwa wa raw material[ wheat, gases) na bado uchumi wake uko juu,hata hayo mafuta ni raw materials lakini ndo yamezifanya nchi za kiarabu kuwa hapo zilipo acha kupotosha. Kwahiyo unataka hivyo viwanda vizuke
 
Marekani amefika pale kwa sababu ya viwanda vikubwa miaka ya 1950's

Sasa unajifananisha na urusi au nchi za kiarabu wewe Tanzania unauza korosho au mahindi unajifananisha na anayeuza crude oil au natural gas huko shuleni mnasomeaga nini
 
Sio sawa
ila mwaka 2000 sh ilikua imara maradufu dhidi ya dollar kuliko leo 2024 imeshuka sana thamani na haitakaa iwe na nguvu kama ilivyokua mwaka 2000

Mwaka 2000
1 usd dollar ni sawa na 800 tsh
Na mahitaji ya mwaka 2000 hayakuwa kama ya leo kwa sababu hata idadi ya watu ilikuwa chini ya leo, mwaka 2000 hatukuwa na phone subscribers waliofika hata 5mil leo tunazaid ya 6mil kwa hiyo Kuna uhitaji wa network mara 100 ya mwaka 2000
 
Marekani amefika pale kwa sababu ya viwanda vikubwa miaka ya 1950's

Sasa unajifananisha na urusi au nchi za kiarabu wewe Tanzania unauza korosho au mahindi unajifananisha na anayeuza crude oil au natural gas huko shuleni mnasomeaga nini
Alifika hapo kwa kuruka? Alienda kwa hatua, kwahiyo wewe leo unataka mtu aje awekeze letsay kiwanda cha starch wakati hamlimi mihogo au ulitaka tuexport processed korosho wakat uzalishaji ulikuwa kidogo?
Sawa tuachane na marekani nchi za kiarabu zinazouza mafuta zilianzq kuwa na viwanda ndo zikaanza chimba mafuta?
 
Na mahitaji ya mwaka 2000 hayakuwa kama ya leo kwa sababu hata idadi ya watu ilikuwa chini ya leo, mwaka 2000 hatukuwa na phone subscribers waliofika hata 5mil leo tunazaid ya 6mil kwa hiyo Kuna uhitaji wa network mara 100 ya mwaka 2000
Umehamisha magoli tena
Tunaongelea thaman ya shilingi vs dollar we unaleta porojo nyingine
 
Marekani amefika pale kwa sababu ya viwanda vikubwa miaka ya 1950's

Sasa unajifananisha na urusi au nchi za kiarabu wewe Tanzania unauza korosho au mahindi unajifananisha na anayeuza crude oil au natural gas huko shuleni mnasomeaga nini
Nathaniel wewe ndo hujaelimika kuwa economic growth lazima ianzie chini yaan nyinyi mnataka viwanda huku hata bidhaa za kufeed viwanda hamna
 
Umehamisha magoli tena
Tunaongelea thaman ya shilingi vs dollar we unaleta porojo nyingine
Thamani ya usd ya inaendana na mahitaji kwa sababu bila mahitaji hakuna haja ya pesa. We nambie mahitaji mwaka 2000 na leo ni sawa? Kwamba litre za mafuta zilizoagizwa mwaka 2000 kwa ajili ya matumizi ni zilezile ila tunatumia hela nyingi kununulia hayo mafuta?
Kama ukiniletea kuwa mwaka 2000 tulikuwa na uhitaji letsay liter 1m za mafuta na tulitumia tsh800,000,000 kuagiza mafuta na leo mahitaji ni hizohizo 1mil ila tunatumia2,460,000,000,000 basi utakuwa sawa
 
Ujinga unakusumbua wapi nimesema monetary policy za Tanzania zinashusha thamni ya dollar ebu nionyeshe
Unganisha majibu yako mawili la kwanza umesema kushushwa interest rate huko Marekani.
Pili ukaulizwa mbona kuna pesa za nchi nyingine hazijapanda thamani kama TZS?
Ukajibu sababu nchi zinatofautiana monetary policy.
Sasa nakuuliza jibu sahihi hapo ni nini Kama umekataa mipango ya BOT imesaidia kupanda kwa thamani ya TZS?
 
Ni balaa sana
20241211_105113.jpg
 
Unganisha majibu yako mawili la kwanza umesema kushushwa interest rate huko Marekani.
Pili ukaulizwa mbona kuna pesa za nchi nyingine hazijapanda thamani kama TZS?
Ukajibu sababu nchi zinatofautiana monetary policy.
Sasa nakuuliza jibu sahihi hapo ni nini Kama umekataa mipango ya BOT imesaidia kupanda kwa thamani ya TZS?
BOT na dollar wapi na wapi
BOT waulize mambo ya Tanzania shilling

Monetary policy zinatofautiana kulingana na nchi nchi hapo hujaelewa nini
 
BOT na dollar wapi na wapi
BOT waulize mambo ya Tanzania shilling

Monetary policy zinatofautiana kulingana na nchi nchi hapo hujaelewa nini
Unajua majukumu ya BOT hivi unajua mabenki yote nchini yanaweka hela zao Bot kama wewe unavyopeleka fedha zako crdb.
Unajua benk kuu ndo yenye jukumu la kucontrol currency fluctuation.
Omba kuelimishwa badala ya kupinga kila kitu
 
baada ya dollar ya marekani kupanda mfululizo mwaka huu hadi kufika 2750 kutoka 2250 hatimaye wiki hii imeanza kushuka kwa kasi nakufikia muds huu naandika nakala.hii imefikia 2490 huku ikitarajiwa kushuka zaidi siku zijazo. Kulikoni nini kimetokea? Hii ina maana kwa mtu aliyenunua dollar wiki zilizopita kwa sasa ana hasara ya karibu 300 kwa kila dollar. Je Dollar kushuka dhidi y tsh nikuimarika kwa uchumi? Wataalam mtujuze
Now ni 2460
 
Back
Top Bottom