Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
-
- #61
Alikuona wa kawaida sana,masaa 3 unakula tu,kama mmoja nilikutana naye soda ya kwanza akamaliza,akaomba na ya pili,mimi nikaingia mitini
jamaa ananijua siku nyingi na huwa tunatoka mara kibaohah
ahahhhhahah katoka shamba huyo au msukuma kbs
jamaa ananijua siku nyingi na huwa tunatoka mara kibao
Huo ndo udomo zege sasa wee unafikiri nnmimi nahisi sio domo zege, lakini nakuaga naona aibu kumuita mdada alafu akakataa au kunitolea maneno machafu/mabaya yaani hapo tu ndo pananishinda naweza nikamuona mdada kabisa mzuri nikamvutia pumzi lakini hilo wazo likija kichwani tu naishiwa pozi, sasa sijui huo ndo udomo zege!! Miss Natafuta
Eeee!! kumbe ndo huo!! aisee kumbe unaweza kuwa na ugonjwa na usijue?Huo ndo udomo zege sasa wee unafikiri nn
AKINYWA POMBE LAZMA ATIRIRIKE TUMnyweshe pombe atakwambia kila kitu
Pole mkuu, maana wadada wenyewe aanatamba sana kama wangekua vidume mademu wangekomaUdomo zege ni tatizo sana yani zaidi mikataba ya kusafirisha mchanga wa dhahabu.
Udomo zege huwa unanitesa sana sema naenda nao hivyo hivyo tu kibishi.
Tumia akilisi bora ujue ukweli
Kisa chako kinataka kufanana na changu ila mm nilimla na hatorudiaKuna wanaume kweli hawajui kutongoza
Kuna jamaa alikuwa ananionesha kabisa ananitaka ila ile kusema abc naona kama anakuwa muoga
Zikapita siku nyingi siku moja akaniambia wikend tutoke kuna jambo anataka kuniambia.Tukaenda mahali nikapiga msosi wa maana kama elf 70 hivi, ile bufee haikuwa ya nchi hii nilishinda pale masaa matatu nakula tu.
Baada ya kushiba nikamuuliaza ulikuwa unasemaje mkuu eti akaniambia alitaka kuniuliza nywele zangu nimesuka wapi na huo mtindo unaitwaje? hadi leo huwa namcheka sana. Nataka nimtongoze ndo namalizia kufanya upelelezi wangu wa mwisho kama anafaa kwa matumizi ya binadamu.
Wanaume mnachoogopa ni nini? Ningekuwa mwanaume mimi pasingetosha