Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂ila we kaka wewe😂😂
Kila la kheri kazini
Who is that dude?
Don Nalimison kuna watu wamemuharibu makusudi I'll asifanikiwe, jamaa angekuwa mbali Sana.Shemeeeji cc Wangari Maathai..
Kesho naenda mkolani secondary nikamfahamu huyu jamaa.
Hayo ndio maisha halisi ya Don, hamna kufake...[emoji23][emoji23]ila we kaka wewe[emoji23][emoji23]
Kila la kheri kazini
Know Your Client, huyu ni wa kwenda naye mdogo mdogo, hayuko vizuri, jf ndio faraja Yake kubwa. Tumchukulie kwa upole, umeshawahi kufungwa wewe?Unatia aibu.
KwakweliHayo ndio maisha halisi ya Don, hamna kufake...
Hivi hujawahi kugundua kuwa anamzungumzia mtu mwingine aliye ndani yake?[emoji23][emoji23]ila we kaka wewe[emoji23][emoji23]
Kila la kheri kazini
Mwalim Don Nalimison Nikusahihishe kidogo picha ya pili umeandika "I am back gain" sio sahihi, bali usahihi wake ni "I am back again" [emoji106]
Kweli aiseeHivi hujawahi kugundua kuwa anamzungumzia mtu mwingine aliye ndani yake?