Don Nalimison kufukuzwa kazi serikalini(Ualimu) au? lakini Albam yake imekamilika.

Hahahaa ana historia ndefu huyu mwamba ni mwana mabadiliko mkongwe Msomi mwalimu kutoka chuo gani sijui Tanga alishagombea hadi ubunge huyu na alikua mwanasiasa machachari enzi zile za kina Zitto,Mtela,Shonza

Ila alipata ajali ya kimaisha akafungwa jela ndo katoka juzi kasema amebadili jina toka Deogratius Kisandu kuwa Don Nalimison na hataki kuishi Bongo tena anaenda mbele Kwa Trump

Ndoto zake; Kumuoa Malia Obama
Pia alikua Mtemi na mwanzilishi wa chama chake cha siasa nishakisahau jina

Ananikumbusha sana enzi za Ganesh aka Andrew Nyerere [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Asante Mkuu kwa ufafanuzi
 
Don acha kuzingua basi, kuna distributors watakaokupigia cm kweli kwa hiyo albam?
 
Ooh my is friend is here and she is back on his school for teaching these pupils on Civics. I is very proud in you, not all human is can be happy, happier, happiest after you is what is come through. All of you human beat claps for these human.

Don Nalimison.

Thank is very many you.
Nilihisi nasoma shairi. So funny!!
 
Hahahaa ana historia ndefu huyu mwamba ni mwana mabadiliko mkongwe Msomi mwalimu kutoka chuo gani sijui Tanga alishagombea hadi ubunge huyu na alikua mwanasiasa machachari enzi zile za kina Zitto,Mtela,Shonza

Ila alipata ajali ya kimaisha akafungwa jela ndo katoka juzi kasema amebadili jina toka Deogratius Kisandu kuwa Don Nalimison na hataki kuishi Bongo tena anaenda mbele Kwa Trump

Ndoto zake; Kumuoa Malia Obama
Pia alikua Mtemi na mwanzilishi wa chama chake cha siasa nishakisahau jina

Ananikumbusha sana enzi za Ganesh aka Andrew Nyerere [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
chama alipendekeza kiitwe ACA kwa kifupi.
 
Mkuu hivi unafundisha masomo gani? Kama kuandika majina tu ya nyimbo makosa kibao, hizo nyimbo za kingereza itakuaje ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Back
Top Bottom