Don Nalimison kufukuzwa kazi serikalini(Ualimu) au? lakini Albam yake imekamilika.


Asante Mkuu kwa ufafanuzi
 
Don acha kuzingua basi, kuna distributors watakaokupigia cm kweli kwa hiyo albam?
 
Nilihisi nasoma shairi. So funny!!
 
chama alipendekeza kiitwe ACA kwa kifupi.
 
Mkuu hivi unafundisha masomo gani? Kama kuandika majina tu ya nyimbo makosa kibao, hizo nyimbo za kingereza itakuaje πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…