Don Nalimison Muziki wangu Sitaimba kwa lugha ya Kiswahili ng'o!

Don Nalimison Muziki wangu Sitaimba kwa lugha ya Kiswahili ng'o!

KWANINI SITAIMBA MUZIKI WANGU KWA LUGHA YA KISWAHILI? #DON NALIMISON

Mungu HAKITAKI KISWAHILI katika maisha yangu maana ni lugha ya Wachawi wa Kiarabu. Nikiwa Darasa la Tano mwaka 1994 mtihani wa Mhula wa kwanza Mtihani wa Somo la KISWAHILI nilipata SIFURI(ZERO).

Lakini somo la Kiingereza nilifauli vizuri Sana. Hivyo, nikiimba Muziki kwa Kiswahili au kucheza filamu kwa Kiswahili au kuandika Vitabu kwa Kiswahili mipango yangu yote inaharibika na kukwama Kama iliyokuwa hapo zamani nilipojaribu kuomba kwa Kiswahili na nikaanguka.

Hivyo Sasa, chochote nachokifanya kwasasa kitakuwa kwa lugha ya Kiingereza tu. Huu ndio mpango wa Mungu na Malaika wake wote na sitapokea ushauri wa kubadili mpango wa Mungu. Stay tuned

#DON NALIMISON

View attachment 1715743
Aisee
 
Inawezekana ikawa kweli.ubarikiwe ulio na Roho safi mm nimemkosoa kwa hoja nae anajua atakutana nachangamoto nyingi. Nawatu kama mie so ubarikiwe Sana ulio ijua Roho yangu upo jilani na muumba wangu kutambua Roho yangu
Mkuu anakuenjoy tu usimaindi. Huyo mleta mada Jf nzima inajua dishi limeyumba linakamata channel za katuni tu.
 
Wakati mwingine tusilaumu sana bangi, ila tuwalaumu wataalamu wa matatizo ya afya ya akili kuwa mbali na baadhi ya watu.
 
Mkuu anakuenjoy tu usimaindi. Huyo mleta mada Jf nzima inajua dishi limeyumba linakamata channel za katuni tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha wee, haya relaaaax sasa.
 
Inawezekana ikawa kweli.ubarikiwe ulio na Roho safi mm nimemkosoa kwa hoja nae anajua atakutana nachangamoto nyingi. Nawatu kama mie so ubarikiwe Sana ulio ijua Roho yangu upo jilani na muumba wangu kutambua Roho yangu
Kasome comment yako mara 2 na uielewe, yawezekana uliandika huku ukiwa hujui nini unaandika,. Huna hata utu na ustaarabu khaaah.
Nimekupa ukweli wako. Relaaaaaaax
 
DON sidhani kama ni bange saa yake haisomeki kitambo tu
Bange tu huyu, mbona baada ya kumsweka Lumpango zile post zake za nataka ku*******ba hazionekani tena, maana ilikuwa kila akiamka ni hizo. Hayupo sawa Up-stairs lakini na mmea unaongeza sana tu
 
Hmmm bii bhange ya Rukwa nn iko kizungu kwenye Hilo tangazo lako kwanza kina leta mushkeli
 
Back
Top Bottom