NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Wasanii wengi wanatafuta kiki kupitia Don ili wang'ae kimuziki,lakini Don anawapotezea kiana tu yani,Don apendagi kiki za kishamba.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasanii wengi wanatafuta kiki kupitia Don ili wang'ae kimuziki,lakini Don anawapotezea kiana tu yani,Don apendagi kiki za kishamba.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Don anasimamia anachokiamini, muda utatupa majibu mazuri bila kujali madhaifu aliyonayo[emoji1752][emoji1752][emoji1752][emoji2]kwa niaba
don naomba kolabo mkuuKWANINI SITAIMBA MUZIKI WANGU KWA LUGHA YA KISWAHILI? #DON NALIMISON
Mungu HAKITAKI KISWAHILI katika maisha yangu maana ni lugha ya Wachawi wa Kiarabu. Nikiwa Darasa la Tano mwaka 1994 mtihani wa Mhula wa kwanza Mtihani wa Somo la KISWAHILI nilipata SIFURI(ZERO).
Lakini somo la Kiingereza nilifauli vizuri Sana. Hivyo, nikiimba Muziki kwa Kiswahili au kucheza filamu kwa Kiswahili au kuandika Vitabu kwa Kiswahili mipango yangu yote inaharibika na kukwama Kama iliyokuwa hapo zamani nilipojaribu kuomba kwa Kiswahili na nikaanguka.
Hivyo Sasa, chochote nachokifanya kwasasa kitakuwa kwa lugha ya Kiingereza tu. Huu ndio mpango wa Mungu na Malaika wake wote na sitapokea ushauri wa kubadili mpango wa Mungu. Stay tuned
#DON NALIMISON
View attachment 1715743
Kwanza hufaamiki pili sura yako si yakuimba wala kuigiza unaonekana Kama nimtu mwenyewe matatizo kichwan mwako sio bure
Huyo ndio don nalimi, mkuu tukuchangie ukatibiwe??KWANINI SITAIMBA MUZIKI WANGU KWA LUGHA YA KISWAHILI? #DON NALIMISON
Mungu HAKITAKI KISWAHILI katika maisha yangu maana ni lugha ya Wachawi wa Kiarabu. Nikiwa Darasa la Tano mwaka 1994 mtihani wa Mhula wa kwanza Mtihani wa Somo la KISWAHILI nilipata SIFURI(ZERO).
Lakini somo la Kiingereza nilifauli vizuri Sana. Hivyo, nikiimba Muziki kwa Kiswahili au kucheza filamu kwa Kiswahili au kuandika Vitabu kwa Kiswahili mipango yangu yote inaharibika na kukwama Kama iliyokuwa hapo zamani nilipojaribu kuomba kwa Kiswahili na nikaanguka.
Hivyo Sasa, chochote nachokifanya kwasasa kitakuwa kwa lugha ya Kiingereza tu. Huu ndio mpango wa Mungu na Malaika wake wote na sitapokea ushauri wa kubadili mpango wa Mungu. Stay tuned
#DON NALIMISON
View attachment 1715743
Muambie ukweli huyo.Wewe huyu ni msanii wa kimataifa usilete wivu wako hafahamiki? Mbona sisi tunamfahamu sana
Wivu😂😂😂😂Kwanza hufaamiki pili sura yako si yakuimba wala kuigiza unaonekana Kama nimtu mwenyewe matatizo kichwan mwako sio bure
Sema wee nyanya, mie kitunguu nanuka lol.[emoji23][emoji23][emoji23]Wivu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hili kalithibitisha mgambo sele wa moro hapo juzi alipomtukana MuumbaBange mbaya
Muziki haulipi.Hadi house he haven't????[emoji1787][emoji1787] ata haven wife kweli?[emoji23]