Don Nalimison nimeachana na siasa za Afrika, nitakwenda kufanya harakati Marekani

Hahah acha ufala kmk
 
Ndio maana ukabadili jina kutoka mtemi adi Don!
Kweli umejipanga usiache kuaondoka na Dona au sembe kilo 10!
 
Mtemi si naskia alipita useminar mbona ngeri kama ipo ICU au bado wenge la kule chuo cha mafunzo?[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Huko unaenda kupigania nini?
 
Nenda Baba. Tuachie Tanzania yetu. Utarudi mwenywe.
 
Huko unaenda kupigania nini?

Ugali na maharage ili kiwe chakula rasmi cha Wamarekani!🙄

Nimemjibia tu lakini. Mimi ni mfuasi wake kindakindaki hivyo ni rahisi pia kuyatambua mawazo ya mtemi wetu.
 
Sore mkuu hili jina lako jipya na huo muonekano wako mpya vina uhusiano na Tz kuingia uchumi wa kati au ni coincidence tu?
 
Don umefika wapi kwa sasa au bado upo bandarini!
 
Doni kama doni! Hakikisha kule kW ranging yako hiyo uwe na punzi za kutosha maana yule kamanda wamemuachia
 
Don Nalimison a.k.a Deogratius Kisandu, when you will go to climb the bird, I will carry your bags.
Me will also carry you, because your shoes are very handsome
 
Usa wame kukubali ?
Unabidi uende shule ya kiingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…