Don Williams enzi za uhai wake alikuwa Na Swaga

Don Williams enzi za uhai wake alikuwa Na Swaga

Mimi bado tu namuomboleza jamaa. Nyimbo zake zinagusa Sana hisia. Kuna hi pressure makes diamond, tears of the lonely, that's all it takes, leaving for the flat lands, we should be together, it rains on me, I recall a gypsy woman Yani zoote nazifaham nakuziimba kiufasaha

aisee hata mie najua kuziimba vyema ingawa kwa sauti yangu !jamaa ana tupia aisee napenda sana men atupie namna hyo !kuna mzee mmoja mkubwa sana hapa TZ alitupia Tshirt blak kuuubwaaa huwa nacheka had leo jaman
 
Mimi bado tu namuomboleza jamaa. Nyimbo zake zinagusa Sana hisia. Kuna hi pressure makes diamond, tears of the lonely, that's all it takes, leaving for the flat lands, we should be together, it rains on me, I recall a gypsy woman Yani zoote nazifaham nakuziimba kiufasaha
RIP Down Williams. Hakika alikuwa mwimbaji bora! You are my Best Friend naimba daily!- You placed Gold on my finger....Halafu he was Family man and God fearing Person. Alimpenda sana mkewe na walizeeka pamoja.
 
Jamaica farewell naikumbuka sana enzi naanza chuo mwaka wa 1.
Jamaa alikuwa na sout ya wine kiasi huchoki kudikiliza nyimbo zake " I belive in you"
If Hollywood dont need you"
Some broken heart never mend"
 
Ila Uzi wa mondi bila kumtaja kiba sio poa, hata Kenny nae nikisikia around the bay of Jamaica yaani hadi nywele zinasimama naweza sema don na ken level moja bhana
Keny Rodgers na Dolly Parton watakuwa wapweke sana kuondokewa na patner wao kwenye country Music.
coward of the country" ndo faourite song ya Kenny nayoikubali sana.
Pumzika salama Don
 
Back
Top Bottom