Don Williams V/S Kenny Rogers

Don Williams V/S Kenny Rogers

Nampenda zadi Don Williams. Ila naona Kenny Rogers umemuonea.

Napata zaidi wasiwasi kwamba humfahamu kwa karibu Kenny Rogers ambaye alishiriki pia kuimba wimbo wa We Are The World.



Huu wimbo uliandikwa na Brother Gibbs yaani Bee Gees ili aimbe Diana Ross. Diana akawa anakwepakwepa na mwisho wakaona wawape Kenny Rogers na Dolly Parton ambao waliufanya kazi nzuri sana.

2. Don't fall in love with a dreamer.

3. Lady, Something inside so strong, Lady etc.

Don Williams? Mhhhh.... huyu jamaa apumzike kwa amani ila alikuwa anaimba.

Kwa kweli wote wakali
Na wote wana sauti ya ajabu
Ila hii something Inside So Strong aliimba jamaa mmoja mweusi anaitwa Labi Siffre ni masterpiece kwa kweli
Kuna watu wana vipaji
Sijui kwanini sikuwa mwimbaji hahaha
 
Wote wazuri sana,ila nampa vote yangu Don Willium,vp kwa wanawake nani mkali zaidi
 
Don William is the best
Nyimbo kama
Your my best friend
Fever
If i need you
Lord i hope this day is good
Hizi ni shida
 
Luccille
You decorated my life
Coward of the country
Aiseeee country ni tamu when driving halafu unasikiliza country yani unahisi kama upo angani
huwa nahisi wasiosikiliza muziki wa country hawapati ladha halisi ya muziki.
 
Kenny Rogers aiseeee... Why? Because ever since I was a kid. Someone really close to me, who paid my fees, kanilisha and even kanipeleka nje kula bata tu, used to play only Kenny Roger's songs in his Land Cruiser 🤣[emoji23]

This is what made me love Kenny Rogers. Unajua sometimes hata kama hupendi singeli, ila mama yako akiwa anapiga nyimbo za msagasumu daily. Itakuja miaka utazipenda tu. Because it reminds you of your mom.

Don Williams is a great singer, but Kenny Rogers gets my vote here. Hivi kwanza mmeusikia 'Buy me a rose'??? I wish all women were like this. Au 'Loving arms'??? And the famous 'Gambler'? All songs touch my life and am sure yours too-whoever is reading this.

-callmeGhost
story zetu zinatofautiana mkuu. Sikuwahi kuhisi kwamba kuna siku nitakuja kupenda muziki wa country hadi ilipofika mwaka 2016 nilipousikia kwa mara ya kwanza wimbo wa gambler. Nilikuwa sehemu na mdogo wangu ghafla akaanza kuupiga kwenye simu yake. haikuchukua dakika mbili kubaini ladha, ufundi, umakini na mbinu mujarabu zilizotumika kuufuma wimbo huo. Hapo nikaamua kuupa nafasi zaidi muziki wa country, nilipoingia youtube nikakutana na akina Dolly Parton, Don William na wengine kibao nikasema kwanini sikulifahamu hili chaka hapo kabla? Ladha ya kweli ya muziki huwezi kuifahamu kama husikilizi muziki wa country. na mfalme wangu katika muziki huo atabaki kuwa Kenny Roggers japo heshima yangu kwa Don William haina ukomo.
 
Nadhani sio lazima wakati wote tuwe na mshindi mmoja,leo naomba niseme kwenye country kuna washindi wawili nimeshindwa kuchagua asee.
Hahahah inafikia hatua nafsi inashindwa kufanya maamuzi maana kila upande unauona ni hatari
 
mwaka 1963 nilibahatika kuwa kwenye show yake ya jijin texas na wimbo wake pendwa kwangu ni listen to the radio mpaka leo nnao kwenye smat4n/pc angu
Mwaka 1963!!! well, shikamoo mkuu.
 
Wote wazuri sana,ila nampa vote yangu Don Willium,vp kwa wanawake nani mkali zaidi
Sijawasikiliza sana wanawake ila mpaka sasa ninayemkubali ni Dolly Patron hasa kupitia ngoma yake ya many colours
 
Don William is the best
Nyimbo kama
Your my best friend
Fever
If i need you
Lord i hope this day is good
Hizi ni shida

Nadhani hujaingia deep kwenye nyimbo za Kenny G, ana nyimbo za hatari sana.

Love or something like that, wimbo konyo sana huu.
Loving arms sijui kama unajua.
Island of the stream
She believes in me
Unaufahamu wimbo unitwa Ruby?? Mi nawapa 50 kwa 50, Kenny G hajawahi niangusha wala Don Wi. Wote walijua wafanyacho

Sijataja zile popular hapa
 
Don no habari ingine. Yuki mbaaaaali . yuki juuu sana.
 
It has been difficult to vote 4 one leaving one coz both are legends and their songs are awesome. If u listen u'll never opt 2 go distance frm ur device. Despite their awasome songs my vote is vital and therefore, for me, Kenny Rogers entitled a win one vote ahead of Don ...
 
Sijawasikiliza sana wanawake ila mpaka sasa ninayemkubali ni Dolly Patron hasa kupitia ngoma yake ya many colours
Yaap coat of many colours bonge la nyimbo tena dolly anasema umebez kwenye true story ya maisha yao
 
Let the Don reign

Don William mwisho wa matatizo wakuu
 
Yaap coat of many colours bonge la nyimbo tena dolly anasema umebez kwenye true story ya maisha yao
yaah kuna show moja niliitazama youtube alitoa kisa cha huo wimbo kuwa umebeba uhalisia kutoka kwenye maisha yake. Ametokea familia ya maisha duni ila alipambana na akaweza kuinyanyua kwa kipaji chake.
 
Back
Top Bottom