Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
kabisaTrue, country songs zina raha yake pakiwa na utulivu, huku ukisindikiza na funda kadhaa za mvinyo (kwa watumiaji).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisaTrue, country songs zina raha yake pakiwa na utulivu, huku ukisindikiza na funda kadhaa za mvinyo (kwa watumiaji).
Kwa kweli wote wakaliNampenda zadi Don Williams. Ila naona Kenny Rogers umemuonea.
Napata zaidi wasiwasi kwamba humfahamu kwa karibu Kenny Rogers ambaye alishiriki pia kuimba wimbo wa We Are The World.
Huu wimbo uliandikwa na Brother Gibbs yaani Bee Gees ili aimbe Diana Ross. Diana akawa anakwepakwepa na mwisho wakaona wawape Kenny Rogers na Dolly Parton ambao waliufanya kazi nzuri sana.
2. Don't fall in love with a dreamer.
3. Lady, Something inside so strong, Lady etc.
Don Williams? Mhhhh.... huyu jamaa apumzike kwa amani ila alikuwa anaimba.
story zetu zinatofautiana mkuu. Sikuwahi kuhisi kwamba kuna siku nitakuja kupenda muziki wa country hadi ilipofika mwaka 2016 nilipousikia kwa mara ya kwanza wimbo wa gambler. Nilikuwa sehemu na mdogo wangu ghafla akaanza kuupiga kwenye simu yake. haikuchukua dakika mbili kubaini ladha, ufundi, umakini na mbinu mujarabu zilizotumika kuufuma wimbo huo. Hapo nikaamua kuupa nafasi zaidi muziki wa country, nilipoingia youtube nikakutana na akina Dolly Parton, Don William na wengine kibao nikasema kwanini sikulifahamu hili chaka hapo kabla? Ladha ya kweli ya muziki huwezi kuifahamu kama husikilizi muziki wa country. na mfalme wangu katika muziki huo atabaki kuwa Kenny Roggers japo heshima yangu kwa Don William haina ukomo.Kenny Rogers aiseeee... Why? Because ever since I was a kid. Someone really close to me, who paid my fees, kanilisha and even kanipeleka nje kula bata tu, used to play only Kenny Roger's songs in his Land Cruiser 🤣[emoji23]
This is what made me love Kenny Rogers. Unajua sometimes hata kama hupendi singeli, ila mama yako akiwa anapiga nyimbo za msagasumu daily. Itakuja miaka utazipenda tu. Because it reminds you of your mom.
Don Williams is a great singer, but Kenny Rogers gets my vote here. Hivi kwanza mmeusikia 'Buy me a rose'??? I wish all women were like this. Au 'Loving arms'??? And the famous 'Gambler'? All songs touch my life and am sure yours too-whoever is reading this.
-callmeGhost
Don William is the best
Nyimbo kama
Your my best friend
Fever
If i need you
Lord i hope this day is good
Hizi ni shida
Yaap coat of many colours bonge la nyimbo tena dolly anasema umebez kwenye true story ya maisha yaoSijawasikiliza sana wanawake ila mpaka sasa ninayemkubali ni Dolly Patron hasa kupitia ngoma yake ya many colours
Wote wazuriLet the Don reign
Don William mwisho wa matatizo wakuu
Uko sawa kabsa ila mmoja kamzidi mwenzake naye si mwingine bali ni Mzee wa kazi DonWote wazuri
yaah kuna show moja niliitazama youtube alitoa kisa cha huo wimbo kuwa umebeba uhalisia kutoka kwenye maisha yake. Ametokea familia ya maisha duni ila alipambana na akaweza kuinyanyua kwa kipaji chake.Yaap coat of many colours bonge la nyimbo tena dolly anasema umebez kwenye true story ya maisha yao