Don Williams V/S Kenny Rogers

I Luv Country Music!

Last time nilikuona Kenny Rogers kwa live concert yako 2010 ulikuwa umeanza kuugua but your music that Night siwezi kusahau.

Pumzika kwa Amani! Mungu na Malaika wakulinde huko uliko

So sad!
 
Miamba yote hatunayo kwa Sasa, Don and Kenny muziki wao ulikuwa mkubwa sana
 
I Luv Country Music!

Last time nilikuona Kenny Rogers kwa live concert yako 2010 ulikuwa umeanza kuugua but your music that Night siwezi kusahau.

Pumzika kwa Amani! Mungu na Malaika wakulinde huko uliko

So sad!
Bila Shaka ulikuwa na wakati mzuri sana.... Hongera sana
 
Rip kenny.... Ila Don daah playlist yake haichoshi... Your my best friend, amanda, some broken heart never mend.. Heshima kwake
 
R.I.P all legends...u made me love country music....ur music will live forever....and ur names wont be forgoten.....

Kingereza kigumu...nimejikaza kuandika mpaka tumbo linauma....
 
kenny g ni mtu mwingune kbsa tofauti na kenny rogers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My dear Fan mwenzangu wa Country Music, Kilio tena Kenny naye katutoka. Nimeumia Sana kwakuwa nilimpenda na Music zake hasa Lucille, na Lady. Hakika Music zao zinaburudisha. Leo Nimepitia mashairi ya Lucille nikamhurumia mumewe Lucy alivyokuwa anamwambia You picked fine time to leave me Lucille. Kenny akayakumbuka hayo maneno akaacha kumfukuzia Lucille. Anyway walale Kwa Amani Wazee wetu.
 
Yupo mwingine nampenda kinoma. Anaitwa Allan Jackson. Anachangia ya Country na Gospel. Yuko Vizuri naye mno. Hawa watu kwakweli wanajua kuimba.
 
Yaani maisha yako ndo yawe standard ya kipimo ,what a selfish pig
 
Don williams ni habari ingine,kenny rogers anasubiri sema don alifariki mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Beti tesha karibu kwa kura yako nisipo mpa kura yangu Don willium sijisikii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…