Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweliyaah kuna show moja niliitazama youtube alitoa kisa cha huo wimbo kuwa umebeba uhalisia kutoka kwenye maisha yake. Ametokea familia ya maisha duni ila alipambana na akaweza kuinyanyua kwa kipaji chake.
Nadhani hujaingia deep kwenye nyimbo za Kenny G, ana nyimbo za hatari sana.
Love or something like that, wimbo konyo sana huu.
Loving arms sijui kama unajua.
Island of the stream
She believes in me
Unaufahamu wimbo unitwa Ruby?? Mi nawapa 50 kwa 50, Kenny G hajawahi niangusha wala Don Wi. Wote walijua wafanyacho
Sijataja zile popular hapa
Kwa kweli wote wakali
Na wote wana sauti ya ajabu
Ila hii something Inside So Strong aliimba jamaa mmoja mweusi anaitwa Labi Siffre ni masterpiece kwa kweli
Kuna watu wana vipaji
Sijui kwanini sikuwa mwimbaji hahaha
Hahaaha too old for that nowUmeshawahi kujaribu kuimba? Barry White na Leonard Cohen (RIP) walikuwa wakiunguruma tu na siyo kuimba na bado wamependwa sana duniani. Yaani akina Dada walikuwa wakisikia sauti ni lowolowo 🙂
Usikate tamaa, jaribu shule za waimbaji. Anzia hata kanisani.
Pokea pongezi zangu mkuu kwa kuijari señorita especially yule mzee aliyepiga kibodikwang wote ni wazuri inaniwia vigumu sana kumchagua mmoja ila nikisikiliza nyimbo zao wote wawili nafarijika sanaa especially senorita ya don na luccile ya kenny rogers
YapKamwe huwezi kumlinganisha the humble giant of country music na Kenny Rodgers. Don ni hatari aisee.
Kenny rodgers ni nyimbo tatu tuu ndio maarufu The Gambler, coward of the county, lucine and island in the stream fet dolly parton
Consigliere
Nimepokea hiyo shukrani kwa mikono miwili mkuu, naona wengi mpo upande wa Don, kiuhalisia kashinda na bahati nzuri watu wamekuwa wakitoa na sababu pia za kumpitisha....Naomba nianze kwa kutoa shukrani za dhati kabisa kwa mkuu dawa yenu, pia shukrani za dhati kwa rafiki yangu wa karibu sana ambaye ni kama ndugu kwa kunifahamisha huu mjadala kwani sikuwa hewani kwa muda flani pili wachangiaji wote wa mada hii husika kwani nimefarijika kuona muziki wa country bado kuna watu wana uelewa vzr kabisa. Nami narudi kwenye upigaji wa kura na moja kwa moja kura yangu inamuangukia don Williams lakini hii ni kwa sababu ya kuwa na uwezo mkubwa wa kutoa nyimbo zaidi ya 10 zenye mvuto uleule sawa na wimbo wa kwanza kuanzia kwenye mashairi na mpangirio wa ala za muziki ndani yake, lakini pia nisimuache mbali mzee wangu wa kazi Kenny R kwani nae hakuwa nyuma kwenye kutoa vitu vikali vyenye stori za maisha kali na mpangilio wa ala za muziki kali sana, mbali na hayo yote kura yangu imemuangukia Mzee don(rip) na heshima zangu zote nazielekeza kwao wote manguri wa muziki nina mengi sana ya kuongea lakini ningeomba baada ya muda kadhaa mkuu dawa yenu utupe idadi ya kura zilizopigwa( i salute all country music lovers)
Achaa kudanganya wereKamwe huwezi kumlinganisha the humble giant of country music na Kenny Rodgers. Don ni hatari aisee.
Kenny rodgers ni nyimbo tatu tuu ndio maarufu The Gambler, coward of the county, lucine and island in the stream fet dolly parton
Consigliere
Pamoja sana mkuu wacha tuendelee kuufurahia huu muziki mtam wa countryNimepokea hiyo shukrani kwa mikono miwili mkuu, naona wengi mpo upande wa Don, kiuhalisia kashinda na bahati nzuri watu wamekuwa wakitoa na sababu pia za kumpitisha....
The gun is gone, we are happy for the great wirk he has accomplishedDaaah tumefiwa wadau...
Rip KENNY
Copenhagen DN Heci Consigliere mng'ato@elmagnifico Mr Miller Nahirat
MBITIYAZA ArD67 Inanambo kilambimkwidu@kiumbe kipya bombei_safaya Shepherd kidadari@Kyalow
Nadhani sio lazima wakati wote tuwe na mshindi mmoja,leo naomba niseme kwenye country kuna washindi wawili nimeshindwa kuchagua asee.
Sijawasikiliza sana wanawake ila mpaka sasa ninayemkubali ni Dolly Patron hasa kupitia ngoma yake ya many colours