Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 4,985
- 3,493
Kwani tunamwabia nani kua tunataka katiba mpya kamanda?Wapi ccm wameliliwa?
Kwani tunamwabia nani kua tunataka katiba mpya kamanda?Wapi ccm wameliliwa?
Wanaokusanya kodi zetu. Na hatuombi bali tunataka.Kwani tunamwabia nani kua tunataka katiba mpya kamanda?
Mjita wa bunda huyo.. japokuwa amekanusha anadai wameipika clip akiwa na maana hiyoMkurya aliye pitia jando, hawezi akawa na roho ya kike namnahii...