Donald Felix Mwembe: Lissu amekaa sana gerezani inauma, Heche akubali maridhiano atoke

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mara, Donald Felix Mwembe, amemtaka Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho John Heche akubali kukaa mezani na Watawala kwa ajili ya kufanya maridhiano ili kusaidia Mwenyekiti wa CHADEMA aachiwe huru na kwa pamoja waendeleze mapambano ya kisiasa.

Akiongea na Waandishi wa Habari, Mwembe amesema“Ni kweli Mh. Mwenyekiti wetu wa Chama Taifa Lissu yupo ndani na juzi tumesikia ana kesi ya kujibu, ni rai yetu kwamba kuna kila sababu Viongozi wetu wakuu kukaa na kutafakari wakiongozwa na Heche, kukaa na Watawala kujua namna gani tunatoka kwenye mtanziko mkubwa wa kisiasa, tumeona nchi mbalimbali mfano South Afrika, Mandela alikaa ndani baadaye akakaa na Watawala wakayaweka sawa”“

Tumeshuhudia Mashirika mbalimbali ya kikanda, Bunge la Ulaya wakishangaa Mtu yule kukaa ndani, tumeona Maaskofu wa TEC wametoa ushauri kwamba tufike kwenye meza ya mazungumzo ili kuliponya Taifa letu, namshukuru Mh. Rais alishiriki kongamano la BAWACHA ni jambo zuri, tuna kila sababu ya kukaa na Watawala tusonge mbele na kuondoa vikwazo ambabyo vinachelewesha maendeleo nchini”“Mh. Lissu kukaa ndani muda mrefu kwangu naumia sana na imepelekea nikumbuke kauli ya Mnyika aliyesema kama kwa Mbowe ilitumika busara kwanini kwa Lissu isitumike busara?

Sisi tunaona ni vema Mh. Heche aone na kutafakari, kama Lissu alivyokutana na Mh. Rais Ubelgiji wakati ule wakazungumza na Mbowe akaachiwa, tunaamini mazungumzo yatakayotuunganisha yawe mazungumzo ya kuliponya Taifa”“Migogoro mingi inamalizwa mezani hata Mwl. Nyerere wakati anadai uhuru walikaa mezani, Iran na Marekani wanapigana ilaWanakaa mezani, Urusi na Ukraine wanakaa mezani , Heche kazi yake tunaikubali lakini ili iive vizuri akubali maridhiano Lissu atoke nje, Heche akienda mezani Lissu atakaa nje”

Pia soma:Odero: Heche hutaki maridhiano, acha kusingizia Lissu kuwa huru
 
Hivi Chadema mnakumbatia vipi watu wa aina hii? Hawa wanaweza kuwauza saa yoyote, yaani katibu mkuu wa chama mkoa, hajui mwenyekiti wao kitaifa amewambia waache kulia lia mtaani huku waongeze dozi.
 
Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mara, Donald Felix Mwembe, amemtaka Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho John Heche akubali kukaa mezani na Watawala kwa ajili ya kufanya maridhiano ili kusaidia Mwenyekiti wa CHADEMA aachiwe huru na kwa pamoja waendeleze mapambano ya kisiasa.

Akiongea na Waandishi wa Habari, Mwembe amesema“Ni kweli Mh. Mwenyekiti wetu wa Chama Taifa Lissu yupo ndani na juzi tumesikia ana kesi ya kujibu, ni rai yetu kwamba kuna kila sababu Viongozi wetu wakuu kukaa na kutafakari wakiongozwa na Heche, kukaa na Watawala kujua namna gani tunatoka kwenye mtanziko mkubwa wa kisiasa, tumeona nchi mbalimbali mfano South Afrika, Mandela alikaa ndani baadaye akakaa na Watawala wakayaweka sawa”“

Tumeshuhudia Mashirika mbalimbali ya kikanda, Bunge la Ulaya wakishangaa Mtu yule kukaa ndani, tumeona Maaskofu wa TEC wametoa ushauri kwamba tufike kwenye meza ya mazungumzo ili kuliponya Taifa letu, namshukuru Mh. Rais alishiriki kongamano la BAWACHA ni jambo zuri, tuna kila sababu ya kukaa na Watawala tusonge mbele na kuondoa vikwazo ambabyo vinachelewesha maendeleo nchini”“Mh. Lissu kukaa ndani muda mrefu kwangu naumia sana na imepelekea nikumbuke kauli ya Mnyika aliyesema kama kwa Mbowe ilitumika busara kwanini kwa Lissu isitumike busara?

Sisi tunaona ni vema Mh. Heche aone na kutafakari, kama Lissu alivyokutana na Mh. Rais Ubelgiji wakati ule wakazungumza na Mbowe akaachiwa, tunaamini mazungumzo yatakayotuunganisha yawe mazungumzo ya kuliponya Taifa”“Migogoro mingi inamalizwa mezani hata Mwl. Nyerere wakati anadai uhuru walikaa mezani, Iran na Marekani wanapigana ilaWanakaa mezani, Urusi na Ukraine wanakaa mezani , Heche kazi yake tunaikubali lakini ili iive vizuri akubali maridhiano Lissu atoke nje, Heche akienda mezani Lissu atakaa nje”

Pia soma:Odero: Heche hutaki maridhiano, acha kusingizia Lissu kuwa huru
Kwani unamsingizia kupokea offer ya kichuri ama ndiyo Una mbembelezea offer yenyewe ili akubali kuungana na Shetani wa kijani?
 
Huyu ni Katibu wa CHADEMA au wa CCM?
 
FukuzA takataka hilo limeshahongwa vijisenti
 
Kwanini asitolewe kwanza ili maridhiano yafanyike!!.... Huyo ni wakutandika barua ajieleze akifeli piga chini... HUWEZI kuwa na kiongozi ambaye anapingana na sera na maadhimio ya chama!!. Nchimbi amefukuzwa uanachama kwakukiuka miiokonya ya ccm kutetea akatiba mpya!!.
 
Kwani Lissu yumo ndani sababu aligombana na watu hadi aridhiane nao?

Lissu alikua na madai yake [Katiba mpya & Tume huru ya uchaguzi].

Watekeleze madai yake wala hakutakuwa na sababu, twende katika uchaguzi wenye balanced playing field.

Hayo mambo ukiyadai unaitwa gaidi, mhaini na tunaona hata juzi Nchimbi katimuliwa chamani kwao kwa kusema watu wapiganie katiba mpya.

Sasa maridhiano ya nini kama mtu akidai vitu vya msingi anabandikwa jina baya?

Na ndio maana baraza kuu liliahirishwa sababu watu walishajua kuna distraction kama hizi baada ya watu kuanza kuhongwa pesa.
 
Back
Top Bottom