Donald Felix Mwembe: Lissu amekaa sana gerezani inauma, Heche akubali maridhiano atoke

Donald Felix Mwembe: Lissu amekaa sana gerezani inauma, Heche akubali maridhiano atoke

Maridhiano kipindi ichi ni kweli ndio Suluhu kwa %100

Kutoka kwa Lissu kunaweza kuwa faida kwa kuundwa na kutekelezwa mipango ya KATIBA mpya👈

Lkn tukumbuke chama cha Chadema hakina ruzuku yoyote Viongozi wanapata tabu kukiendesha chama

So kwakupitia ayo Maridhiano kunaweza kupatikana Suluhu kwa Chadema kujiendeshe kipindi ichi kigumu

Wazo zuri la yule Katibu lkn vichaa watapinga tu✍️
 
Lissu yupo Lupango wewe huna uchungu wowote❗️
Wapuuzi nyie, kama mlijiandaa kutumia hao wapuuzi ili kuvuruga mkutano mkuu, basi safari hii mmekalia sime mkiwa uchi. Huyo muhuni anayetaka maridhiano uchwara apigwe chini haraka. Na chawa wa ccm waliokuwa wanataka kudandia treni kwa mbele wameshanyamazishwa kwa kumfukuza Nchimbi.
 
Maridhiano kipindi ichi ni kweli ndio Suluhu kwa %100

Kutoka kwa Lissu kunaweza kuwa faida kwa kuundwa na kutekelezwa mipango ya KATIBA mpya👈

Lkn tukumbuke chama cha Chadema hakina ruzuku yoyote Viongozi wanapata tabu kukiendesha chama

So kwakupitia ayo Maridhiano kunaweza kupatikana Suluhu kwa Chadema kujiendeshe kipindi ichi kigumu

Wazo zuri la yule Katibu lkn vichaa watapinga tu✍️
Cdm haitaki maridhiano na matapeli. Hata kama chama hakina ruzuku, huo ndio uhalisia kuliko ruzuku za kugeuzwa makondoo. Hiyo ruzuku kawapeni vile vyama vyenu vya washenga vilivyokubali kushiriki uchaguzi wa wizi na mauaji.
 
Wapuuzi nyie, kama mlijiandaa kutumia hao wapuuzi ili kuvuruga mkutano mkuu, basi safari hii mmekalia sime mkiwa uchi. Huyo muhuni anayetaka maridhiano uchwara apigwe chini haraka. Na chawa wa ccm waliokuwa wanataka kudandia treni kwa mbele wameshanyamazishwa kwa kumfukuza Nchimbi.

Kwanza ujue Wanaccm wa ngazi za Ubunge Udiwani nk hawapendi Maridhiano

Wanaotaka Maridhiano ni viongozi wakubwa wa CCM
Wale hawapo tena kwenye kugombea chaguzi za sasa✍️

Maridhiano sio rafiki kwa wagombea wengi wa CCM ‼️
 
Ili kujenga kuaminiana upya baada tuhuma za uhaini kwa Mwenyekiti wa Chadema mh Lissu ✍️
Hakuna anayetaka kuaminiana na wauaji, kesi iendelee maana tayari Lisu ameshashinda kesi bali anakomolewa. Aachiwe bila masharti yoyote na alipwe fidia kwa kupotezewa muda na kuumizwa. Mardhiano karidhianeni na wasiowajua kuwa nyie ni matapeli.
 
Shida Chadema yasasa wenye akili kubwa hawapo✍️

Nishawai sema apa
Wanapoteza muda Mahakamani badala muda huu wawe kwenye vikao vyandani kuusu Mabadiriko ya KATIBA mpya🤔🤔
 
Hivi Chadema mnakumbatia vipi watu wa aina hii? Hawa wanaweza kuwauza saa yoyote, yaani katibu mkuu wa chama mkoa, hajui mwenyekiti wao kitaifa amewambia waache kulia lia mtaani huku waongeze dozi.
Kamanda huku ni kuponzana tu...mwenyekiti huyu yupo sahihi kabisa anajua modern politics vizuri kuliko archaic radical politics
 
Kwanza ujue Wanaccm wa ngazi za Ubunge Udiwani nk hawapendi Maridhiano

Wanaotaka Maridhiano ni viongozi wakubwa wa CCM
Wale hawapo tena kwenye kugombea chaguzi za sasa✍️

Maridhiano sio rafiki kwa wagombea wengi wa CCM ‼️
Sasa kama hao wanaccm hawayataki nyie chawa mnalazimisha ya nini? Sisi tunataka katiba mpya na sio ombi bali lazima. Kisha tuingie kwenye uchaguzi huru uone hao wanaccm kama watashinda kihalali.
 
Kwani lissu yupo gerezani kwa sababu ya maridhiano?

Tunakushukuru sana kwa huruma yako ila sasa ina harufu ya mshiko wa kuharibu chama.

Kama CCM wanataka mazungumzo si wamuachie lakini hawataki na wewe unajua kuwa hawataki sana sana CCM wanataka wamtumie kama chambo au karata ya kutaka wanayo yataka.
Ila sisi CDM hatulikubali hilo na pia mwenyekiti wetu TAL ndiyo kabisaaaa hataki kusikia hiyo habari ya blackmail

Naomba umwambie anayemshikilia amwachie badala ya kulialia na Heche kama vile ndiye amemshikilia

Mikutakie Dominika yenye jioni njema.
 
Hakuna anayetaka kuaminiana na wauaji, kesi iendelee maana tayari Lisu ameshashinda kesi bali anakomolewa. Aachiwe bila masharti yoyote na alipwe fidia kwa kupotezewa muda na kuumizwa. Mardhiano karidhianeni na wasiowajua kuwa nyie ni matapeli.

Kesi kashinda lini!!

Kesi ya uhaini mh Lissu kaitafuta mwenyewe✅️

kwa kutoa maneno mazito ya kuzuiya Uchaguzi nk.

Kosa lake yeye 👈
Na Domo lake 👈

JAMHURI yoyote lazima wakuweke Lupango siku iyoiyo umetamka👈

nayeye pia kajua atabebwa kuwekwa Lupango👈

Kwaiyo kafanya kosa ili aje kudai Fidia ❌️

JAMHURI ilifanya kutekeleza wajibu wake kiusalama ✅️

JAMHURI kamwe hawawezi kuja kulipa fidia kesi kama ya mh Lissu weka kumbukumbu aya meneno✍️
 
Kwani Lissu yumo ndani sababu aligombana na watu hadi aridhiane nao?

Lissu alikua na madai yake [Katiba mpya & Tume huru ya uchaguzi].

Hayo mambo ukiyadai unaitwa gaidi, mhaini na tunaona hata juzi Nchimbi katimuliwa chamani kwao.

Sasa maridhiano ya nini kama mtu akidai vitu vya msingi anabandikwa jina baya?

Na ndio maana baraza kuu liliahirishwa sababu watu walishajua kuna distraction kama hizi baada ya watu kuanza kuhongwa pesa.
fukuza hili jitu Erythrocyte , fukuza limeshahongwa. Erythrocyte nakushauri fukuza takataka. Hili limeshahongwa hela na ccm, linataka kuvuruga chadema. Mlizungumza mwaka mzima kube samia hakuna na nia yoyte ya kuridhiana kuhusu katiba mpya, uchaguzi huru etc etc. sasa kinasema uridhiane nini, bloodfuck'n
 
Mkotaa maridhiano ndio mtaisoma namba Lupango milele kuliko wale Mashekh wa uhamsho

Hata 2030 hakija Mkristo kuwa Rais uyo mh Lissu hatoki ndani weka kumbukumbu aya maneno ✍️
 
Back
Top Bottom