Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
DahMake China great again? App ileile ambayo alitaka kuifungia akiwa raisi.
Mzee kachekecha akili akaona ili apate kura za vijana ajiunge TikTok
Post yake ya kwanza tayari imepata likes zaidi kuliko posts zote kutoka kwa @BidenHQ katika muda wa miezi 4 ambao wamekuwa kwenye TikTok.
Tutashuhudia mengi uchaguzi wa mwaka huu
View attachment 3006978
Unyama au?Daaah
🤣🤣🤣naye anasema tap tap screen, send roses, send gifts?
Unaonaje mzee mbunifu au kayumba?
MbunifuUnaonaje mzee mbunifu au kayumba?
Sijawahi kumuelewa huyu bingwaUnyama au?
Kwahiyo huo ubingwa umempa ni wa kitu gani mkuu?Sijawahi kumuelewa huyu bingwa
VitukoKwahiyo huo ubingwa umempa ni wa kitu gani mkuu?
Sijawahi kumuelewa huyu bingwa
Hii app imefanya mapinduzi makubwa sanaHuu ni ushindi kwa China na TikTok
Ndio maana Marekani walitaka wauziweHii app imefanya mapinduzi makubwa sana
Naunga mkono hojaHata yule mwamba wa SA ilikua hivi hivi. Jamaa alipata support kubwa mitandaoni ila kwenye uchaguzi mkuu kaambulia patupu.
NB: Ideology ya South Africa na Marekani ni tofauti